Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Feitoto, mabeki wa pembeni wote, lamine molo inabidi watupishe msimu ujao. Tutafute na namba tisa wa kueleweka tumalize kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fei toto type yake ya uchezaji haina tofauti na Ndemla, ni aina ya wachezaji wanaocheza kwa kutumia hisia bila akili, wakipata tactician mzuri anaweza waondoa huo upumbavu.Me jamaa yangu kila nikimwambia aniambie mechi yoyote ambayo Fei toto amewaka huwa ananiambia mechi ya Zanzibar na Tanzania basi lakini cha kushangaza bado anamuona mzuri, hapo ndio nikajua Yanga tuna safari ndefu.
Yanga hata leo wakicheza huwa namuona Tunombe Mukoko akifanya kazi kubwa ya kuchezesha timu na kuzuia huku Fei akiwa mzururaji tu uwanjani. Mukoko anafanya kazi kubwa sana akicheza na Fei Toto.
Kweli Kabsa.Wale mabeki wa pembeni hakuna hata mmoja anayestahili kuanzaFeitoto, mabeki wa pembeni wote, lamine molo inabidi watupishe msimu ujao. Tutafute na namba tisa wa kueleweka tumalize kazi.
Jamani si juzi tu hapa mlikuwa mnasema yassin ni Bora kuliko zimbwe kipindi kaachwa team ya taifaKweli Kabsa.Wale mabeki wa pembeni hakuna hata mmoja anayestahili kuanza
Yasin hata kwa Bryson yule wa KMC haingii, ni average sana! Beki wa pemben huna assist hata moja mwaka mzima!Jamani si juzi tu hapa mlikuwa mnasema yassin ni Bora kuliko zimbwe kipindi kaachwa team ya taifa
Sasa We Unamwacha Mwamnyeto Wa nini....Naye Itabidi achape Lapa..Yanga ni Kubwa Imewazidi ukubwa...!Feitoto, mabeki wa pembeni wote, lamine molo inabidi watupishe msimu ujao. Tutafute na namba tisa wa kueleweka tumalize kazi.
Hizo zilikuwa kauli za kishabikiJamani si juzi tu hapa mlikuwa mnasema yassin ni Bora kuliko zimbwe kipindi kaachwa team ya taifa