Feisal "Feitoto" anachakujifunza kutoka kwa Carlinhos.

Feisal "Feitoto" anachakujifunza kutoka kwa Carlinhos.

Feitoto, mabeki wa pembeni wote, lamine molo inabidi watupishe msimu ujao. Tutafute na namba tisa wa kueleweka tumalize kazi.
 
Me jamaa yangu kila nikimwambia aniambie mechi yoyote ambayo Fei toto amewaka huwa ananiambia mechi ya Zanzibar na Tanzania basi lakini cha kushangaza bado anamuona mzuri, hapo ndio nikajua Yanga tuna safari ndefu.
Yanga hata leo wakicheza huwa namuona Tunombe Mukoko akifanya kazi kubwa ya kuchezesha timu na kuzuia huku Fei akiwa mzururaji tu uwanjani. Mukoko anafanya kazi kubwa sana akicheza na Fei Toto.
Fei toto type yake ya uchezaji haina tofauti na Ndemla, ni aina ya wachezaji wanaocheza kwa kutumia hisia bila akili, wakipata tactician mzuri anaweza waondoa huo upumbavu.
 
Back
Top Bottom