Feisal is smart! Deal with big fish

Ndo maana tunashauri kwa sasa msiwe mnatolewa vichogo ina athiri ubongo
 
Hii ya mkutane mjadili ndio muvunje mkataba ni mutual agreement hiyo lakini kuna nyingine upande mmoja tu unaweza vunja pawepo na sababu au kusiwepo na sababu na kama hamna sababu fidia na adhabu zinahusika
Kuna watu wengine wagumu kuelewa.
Umeshaambiwa kuna Sheria za nchi, za kazi na FIFA.
Hapa zina apply za FIFA na nchi inapokataa kutii Sheria za FIFA husimamishwa uanachama ikiendelea kukaidi inafutiwa kabisa.
 
Hiyo niliyosema ni ya FIFA ndugu una lingine?
 
Kuna watu wengine wagumu kuelewa.
Umeshaambiwa kuna Sheria za nchi, za kazi na FIFA.
Hapa zina apply za FIFA na nchi inapokataa kutii Sheria za FIFA husimamishwa uanachama ikiendelea kukaidi inafutiwa kabisa.
Hizo za fifa kuna termination without just cause kasome
 
Hizo za fifa kuna termination without just cause kasome
Nimewawekea hadi quote ya kifungu lakini kwasababu washatanguliza denial huwezi uka argue nao kwa hoja wakakuelewa
 
Hizo za fifa kuna termination without just cause kasome
Nitajie vifungu niende direct, wakati ni Mali.
Inashangaza kidogo, viwepo vifungu vinavyomfeva asiende FIFA/CAS ang'ang'anie kwenye kuhukumiwa na sheria za nchi.
 
Nimewawekea hadi quote ya kifungu lakini kwasababu washatanguliza denial huwezi uka argue nao kwa hoja wakakuelewa
Tatizo wameweka ushabiki na hisia mbele
 
Nitajie vifungu niende direct, wakati ni Mali.
Inashangaza kidogo, viwepo vifungu vinavyomfeva asiende FIFA/CAS ang'ang'anie kwenye kuhukumiwa na sheria za nchi.
Wapi alipong'ang'ania kuhukumiwa na sheria za nchi ?
 
FATUMA hajawahi kushinda kesi yoyote Tanzania. Suala kasomea wapi na chuo gani sheria halina uhusiano na Sanaa ya kucheza na logic ili kushinda kesi. Hata hivyo ijapokuwa misingi ya sheria ni sawa lakini kwanza ndio anajifunza sheria za Tanzania
 
Kisheria hakuna mkataba usiovunjika nashindwa kuelewa wanasheria wa yanga walisoma vyuo gani. Mkataba usiokuwa na option ya termination ni mkataba batili.
Ndiyo taabu ya kusoma sheria uzeeni!
 
Yanga itakwenda kumlipa Fei pesa ndefu kama wydad walivyolipishwa kwa msuva...ni suala la muda tu hizo pesa za kuingia nusu fainal watakuja kuzitapika zote kwa fei toto
 
Tuchukulie mf FEISAL kaamka na kuwaandikia Barua UTO kuwa anaacha kucheza soka, hataki tena! UTO wangefanya nn?
 
Tatizo mnatanguliza ushabiki na hisia, hakuna mkataba usio vunjika
Mchezaji wa mpira ni kama bidhaa inauzwa na kununuliwa. Timu ikisha nunua mchezaji ni mali yake kama lilivyo shati lako. Tofauti tu ni mali ya timu kwa muda maalum baada ya muda huo mchezaji yuko huru kujiuza mwenyewe.

Kwa hiyo timu nyingine ikimuhitaji mchezaji huyo ni lazima iwasiliane na mwenye timu kumnunua. Endapo timu yenye mchezaji ikigoma kumuuza biashara inaishia hapo. Lakini pia kumuuza mchezaji mwenye mkataba ni sharti pia aridhie kuuzwa au kutolewa kwa mkopo.

Kikubwa zaidi ni kuwa mchezaji hauzwi, hanunuliwi au kutolewa kwa mkopo wakati wo wote, bali ni katika kipindi cha usajili mkubwa au mdogo tu.
 
Mchezaji ni kama changudoa mwenye pesa ndefu anachukua na wewe unabaki kukodoa macho.
 
Yani kama hakuwa na nidhamu basi ndio swala la kuvunja mkataba lilitakiwa liwe jepesi sana kwasababu kuna kila sababu za kuvunja mkataba

Lakini pamoja na nidhamu yake kuwa mbovu you still hold him hamtaki kabisa aende. Why?
Ni mali ya timu na hakuna sababu ya kuhoji. Mbona wewe hatuhoji shati lako ulilovaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…