LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya kiswahili swahili wasio heshimu mikataba na wanao weza kurubunika kirahisi.
Kulikuwa na uharaka GANI wa kuondoka kambini wakati timu ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu na muhimu huku wewe ukiwa ni mmoja Kati ya wachezaji walio kuwa kwenye mipango ya kocha? Too much un-proffessional.
SAWA unataka kuondoka, Kulikuwa na umuhimu GANI wa kulazimisha kuondoka katika kipindi cha dirisha dogo. Kwanini usinge subiri mpaka mwisho wa msimu kipindi ambacho timu itakuwa na muda wa kutosha kutafuta mbadala wako.
Hao ndo mganga wako kakwambia by mwishoni mwa msimu nyota y'ako itakuwa imeshuka so Azam hawatokua Wana kuhitaji tena?
Tutarajie kuona Yanga ikisajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wengi wao ni professional wenye kuheshimu mikataba yao, wasio madhabiki wa Simba na Yanga na wenye ndoto za kucheza soka nje ya Afrika...
Signature: Feisal sio mchezaji wa kutisha kihivyo isipo kuwa ni mchezaji ambae alikuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.
No Feisal no problem