Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una tatizo na Fei Toto naona:-
- [IMG alt="LIKUD"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/116/116096.jpg?1550490068[/IMG]
Kiroho zaidi: Huenda hii ndio sababu ya kiroho kwanini wadau wa mpira walikuwa wanasema Feisal ana takiwa kucheza Barcelona etc
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana.. Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid. Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii. Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona. But ndio uhalisia huo? Sio kweli. Ukweli...
- LIKUD
- Thread
- 59 minutes ago
- barcelona feisal hii kiroho kucheza mpira sababu wadau
- Replies: 5
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
- [IMG alt="LIKUD"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/116/116096.jpg?1550490068[/IMG]
Feisal ndiyo amewaharibia zaidi wachezaji Wazawa
Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha. Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya...
- LIKUD
- Thread
- Today at 10:32 AM
- feisal wachezaji wazawa
- Replies: 10
- Forum: Jamii Sports
- [IMG alt="LIKUD"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/116/116096.jpg?1550490068[/IMG]
Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
- LIKUD
- Thread
- Dec 25, 2022
- kuhusu kuongea rasmi ukweli wakati
- Replies: 34
- Forum: Jamii Sports
- [IMG alt="LIKUD"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/116/116096.jpg?1550490068[/IMG]
Nzee Mpili shughulikia huyu kijana
Nzee Mpili shughulikia kijana.. Wapi Nzee Jabiri
- LIKUD
- Thread
- Dec 24, 2022
- kijana
- Replies: 10
- Forum: Jamii Sports
- [IMG alt="LIKUD"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/116/116096.jpg?1550490068[/IMG]
Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam
Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga. Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey. Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
- LIKUD
- Thread
- Dec 24, 2022
- azam baada kucheza sababu sakata tena yanga
- Replies: 41
- Forum: Jamii Sports
Acha wivu na Roho ya kichawi ungekuwa kaka, dada au mama wa Fei ungeandika haya? kijana anahitaji pesa, yanga au team yoyote sio baba au mama hizi ni team TU . kumchukia mtanzania anayetaka pesa ni ushirikina . Kila siku unaandika Uzi wa fei toto kama kachukua mke wako , fei toto akilipwa vizuri furaha kwa ndugu zake , Mimi na wewe atufaidiki kitu hizi ni team tu , haziwezi kuwa na uhai kuliko binadamuNitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya kiswahili swahili wasio heshimu mikataba na wanao weza kurubunika kirahisi.
Kulikuwa na uharaka GANI wa kuondoka kambini wakati timu ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu na muhimu huku wewe ukiwa ni mmoja Kati ya wachezaji walio kuwa kwenye mipango ya kocha? Too much un-proffessional.
SAWA unataka kuondoka, Kulikuwa na umuhimu GANI wa kulazimisha kuondoka katika kipindi cha dirisha dogo. Kwanini usinge subiri mpaka mwisho wa msimu kipindi ambacho timu itakuwa na muda wa kutosha kutafuta mbadala wako.
Hao ndo mganga wako kakwambia by mwishoni mwa msimu nyota y'ako itakuwa imeshuka so Azam hawatokua Wana kuhitaji tena?
Tutarajie kuona Yanga ikisajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wengi wao ni professional wenye kuheshimu mikataba yao, wasio madhabiki wa Simba na Yanga na wenye ndoto za kucheza soka nje ya Afrika...
Signature: Feisal sio mchezaji wa kutisha kihivyo isipo kuwa ni mchezaji ambae alikuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.
No Feisal no problem
Atulie Ajue Ameshaenda UghaibuniUsijitingishe sindano itakatikia humo
Acha kukurupuka, unanichamba mimi badala ya anayehangaika na Fei TotoAcha wivu na Roho ya kichawi ungekuwa kaka, dada au mama wa Fei ungeandika haya? kijana anahitaji pesa, yanga au team yoyote sio baba au mama hizi ni team TU . kumchukia mtanzania anayetaka pesa ni ushirikina . Kila siku unaandika Uzi wa fei toto kama kachukua mke wako , fei toto akilipwa vizuri furaha kwa ndugu zake , Mimi na wewe atufaidiki kitu hizi ni team tu , haziwezi kuwa na uhai kuliko binadamu
Hadi kufikia hatua akaona maamzi magum ndo suruhisho pekee kuna mambo mhimu atakua keshajaribu lakin ikashindikanaNitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya kiswahili swahili wasio heshimu mikataba na wanao weza kurubunika kirahisi.
Kulikuwa na uharaka GANI wa kuondoka kambini wakati timu ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu na muhimu huku wewe ukiwa ni mmoja Kati ya wachezaji walio kuwa kwenye mipango ya kocha? Too much un-proffessional.
SAWA unataka kuondoka, Kulikuwa na umuhimu GANI wa kulazimisha kuondoka katika kipindi cha dirisha dogo. Kwanini usinge subiri mpaka mwisho wa msimu kipindi ambacho timu itakuwa na muda wa kutosha kutafuta mbadala wako.
Hao ndo mganga wako kakwambia by mwishoni mwa msimu nyota y'ako itakuwa imeshuka so Azam hawatokua Wana kuhitaji tena?
Tutarajie kuona Yanga ikisajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wengi wao ni professional wenye kuheshimu mikataba yao, wasio madhabiki wa Simba na Yanga na wenye ndoto za kucheza soka nje ya Afrika...
Signature: Feisal sio mchezaji wa kutisha kihivyo isipo kuwa ni mchezaji ambae alikuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.
No Feisal no problem
Sijajua ila Efua ni mzoefu WA soka na Sheria zake azijua vyema SI kama Fei,Ila akina Morison ndo wastaarabu?
Exactly 💯Hadi kufikia hatua akaona maamzi magum ndo suruhisho pekee kuna mambo mhimu atakua keshajaribu lakin ikashindikana
Tusimhukum kwakua hatujui mchakato aliuanza lini.
Hapo ndo mnapo waharibu wachezaji mkuu ..asicheze ILI kufurahisha watu wakati mpira ni mchezo wa furahaMorrsion naye ni mzawa?? Kufanikiwa kunaitaji tu matumizi sahihi ya fursa katika wakati sahihi, mwisho wa siku anafanya soka ili maisha yake yaimarike na si kufurahisha kundi fulani la watu.