Siku ukichomoa mwiko akili zako zitakuwa ziko Sawa!kulikuwa,kulikuwa..hapa ni maslahi ya mtu ,unaandika kama vile wewe unamlipa mil 40, hata wewe huwezi kukubali kudhulumiwa kifala,mwache apate ujira wake anaohisi anastahili,wewe mbelemwikonyumamwiko endelea na zogoNitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya kiswahili swahili wasio heshimu mikataba na wanao weza kurubunika kirahisi.
Kulikuwa na uharaka GANI wa kuondoka kambini wakati timu ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu na muhimu huku wewe ukiwa ni mmoja Kati ya wachezaji walio kuwa kwenye mipango ya kocha? Too much un-proffessional.
SAWA unataka kuondoka, Kulikuwa na umuhimu GANI wa kulazimisha kuondoka katika kipindi cha dirisha dogo. Kwanini usinge subiri mpaka mwisho wa msimu kipindi ambacho timu itakuwa na muda wa kutosha kutafuta mbadala wako.
Hao ndo mganga wako kakwambia by mwishoni mwa msimu nyota y'ako itakuwa imeshuka so Azam hawatokua Wana kuhitaji tena?
Tutarajie kuona Yanga ikisajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wengi wao ni professional wenye kuheshimu mikataba yao, wasio madhabiki wa Simba na Yanga na wenye ndoto za kucheza soka nje ya Afrika...
Signature: Feisal sio mchezaji wa kutisha kihivyo isipo kuwa ni mchezaji ambae alikuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.
No Feisal no problem
Usimpangie Feisal maisha yakeNitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana

Hajakosea kitu feisal. Yeye anaangalia maslahi yake na taratibu zinazotakiwa kafuata. Yeye halazimiki kuangalia maslahi ya yanga wala yanga sio ukoo au baba yake.Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya kiswahili swahili wasio heshimu mikataba na wanao weza kurubunika kirahisi.
Kulikuwa na uharaka GANI wa kuondoka kambini wakati timu ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu na muhimu huku wewe ukiwa ni mmoja Kati ya wachezaji walio kuwa kwenye mipango ya kocha? Too much un-proffessional.
SAWA unataka kuondoka, Kulikuwa na umuhimu GANI wa kulazimisha kuondoka katika kipindi cha dirisha dogo. Kwanini usinge subiri mpaka mwisho wa msimu kipindi ambacho timu itakuwa na muda wa kutosha kutafuta mbadala wako.
Hao ndo mganga wako kakwambia by mwishoni mwa msimu nyota y'ako itakuwa imeshuka so Azam hawatokua Wana kuhitaji tena?
Tutarajie kuona Yanga ikisajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wengi wao ni professional wenye kuheshimu mikataba yao, wasio madhabiki wa Simba na Yanga na wenye ndoto za kucheza soka nje ya Afrika...
Signature: Feisal sio mchezaji wa kutisha kihivyo isipo kuwa ni mchezaji ambae alikuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.
No Feisal no problem
Una tatizo na Fei Toto naona:-Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana

Ila akina Morison ndo wastaarabu?Napenda wazawa ila SI wataratibu,
Japo hata viongozi wa vilabu hapa nchini waboreshe mikataba ya wazawa.
Mikataba kandamizi Kwa wazawa haitainua soka letu hapa nchini na tutaishia kuleta wageni maradufu.
Fala wa kienyeji...Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana
Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha.
Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya kiswahili swahili wasio heshimu mikataba na wanao weza kurubunika kirahisi.
Kulikuwa na uharaka GANI wa kuondoka kambini wakati timu ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu na muhimu huku wewe ukiwa ni mmoja Kati ya wachezaji walio kuwa kwenye mipango ya kocha? Too much un-proffessional.
SAWA unataka kuondoka, Kulikuwa na umuhimu GANI wa kulazimisha kuondoka katika kipindi cha dirisha dogo. Kwanini usinge subiri mpaka mwisho wa msimu kipindi ambacho timu itakuwa na muda wa kutosha kutafuta mbadala wako.
Hao ndo mganga wako kakwambia by mwishoni mwa msimu nyota y'ako itakuwa imeshuka so Azam hawatokua Wana kuhitaji tena?
Tutarajie kuona Yanga ikisajili wachezaji wengi wa kigeni ambao wengi wao ni professional wenye kuheshimu mikataba yao, wasio madhabiki wa Simba na Yanga na wenye ndoto za kucheza soka nje ya Afrika...
Signature: Feisal sio mchezaji wa kutisha kihivyo isipo kuwa ni mchezaji ambae alikuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.
No Feisal no problem
Umechemsha nzee mwenzangu,hizi klab zina limit ya wachezaji wa kigeni wanaotakiwa kusajiliwa wazawa hawaepukiki na ni thekuthi mbili ya idadi ya wageni.Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana