Feisal ndiyo amewaharibia zaidi wachezaji Wazawa

Ni rahisi sana kwa mtanzania mwenye roho ya kinyonge kutaka Fei asubiri miez mingine bila maslahi kuliko kuishinikiza timu kumpa maslahi mazuri kuliko wageni.
 
Tangu feisal aondoke Yanga imecheza mechi mbili na imepata point zote sita katika hizo mechi. Nadhani ni muda sasa wakuachana na kelele za uyo feisal na kuendelea na focus ya kupata point zaid
 

Acha wivu na Roho ya kichawi ungekuwa kaka, dada au mama wa Fei ungeandika haya? kijana anahitaji pesa, yanga au team yoyote sio baba au mama hizi ni team TU . kumchukia mtanzania anayetaka pesa ni ushirikina . Kila siku unaandika Uzi wa fei toto kama kachukua mke wako , fei toto akilipwa vizuri furaha kwa ndugu zake , Mimi na wewe atufaidiki kitu hizi ni team tu , haziwezi kuwa na uhai kuliko binadamu
 
Sisi watanzaia miongoni mwa matatizo yetu ni kuthamini sana wageni hii hata kwenye upande wa kazi tu kawaida anaweza ajiriwa mtu hajui kitu lakini akalipwa mshahara mkubwa kuliko wewe, ushabiki wa kijinga hata kwenye mambo yalioyonamanufaa, ujinga hata kwa waliosoma ambao tunawaamini turudi kwenye mada fei ametekeleza moja ya vipengere vya Mkataba wake ndio maana tunasisitizwa sana tusome mikataba yetu au vigezo na masharti ili ujue inakubana wapi na wapi kuna tobo la wewe Kutokea, fei kaona tobo yanga wanapiga tu kelele, refer kwa mikataba ya wachezaji wengine wa yanga. Mtu wa compliance and contractual ana matatizo.
 
Mzee kwani Fei kakiuka mkataba upi!? Si karudisha hela za usajili na mshahara wa miezi 3 kama mkataba unavyotaka na kafanya kwenye dirisha la usajili
 
Acha kukurupuka, unanichamba mimi badala ya anayehangaika na Fei Toto
 
Yaani awasubiri yanga watafute mbadala? Au asubiri msimu uishe? Yeye anatafuta pesa we unaleta hisia tu.
 
Tangu feisal aondoke Yanga imecheza mechi mbili na imepata point zote sita katika hizo mechi. Nadhani ni muda sasa wakuachana na kelele za uyo feisal na kuendelea na focus ya kupata point zaid
No Feisal no problem
 
Hadi kufikia hatua akaona maamzi magum ndo suruhisho pekee kuna mambo mhimu atakua keshajaribu lakin ikashindikana

Tusimhukum kwakua hatujui mchakato aliuanza lini.
 
Doh nlikasahu hako kajamaa,
Ila akina Morison ndo wastaarabu?
Sijajua ila Efua ni mzoefu WA soka na Sheria zake azijua vyema SI kama Fei,
Fei Kwa hili katumia uwezo mdgo WA kufikir.
 
Alisikika chura mmoja akigugumia kwa sauti yenye maumivu
 
Morrsion naye ni mzawa?? Kufanikiwa kunaitaji tu matumizi sahihi ya fursa katika wakati sahihi, mwisho wa siku anafanya soka ili maisha yake yaimarike na si kufurahisha kundi fulani la watu.
 
Morrsion naye ni mzawa?? Kufanikiwa kunaitaji tu matumizi sahihi ya fursa katika wakati sahihi, mwisho wa siku anafanya soka ili maisha yake yaimarike na si kufurahisha kundi fulani la watu.
Hapo ndo mnapo waharibu wachezaji mkuu ..asicheze ILI kufurahisha watu wakati mpira ni mchezo wa furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…