[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kuna watu wamedharirika sana leo.Feisal wakizidi kukuletea mdomo,weka kila kitu hadharani kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisiseme sana, ngoja sakata lake likiisha ntaumwagaaa waziii.
Kuinamishwa na mtu huna hisia nae, wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa, hapa swali la msingi ndo hilo tu. Kwann mnamkumbatia Fei?Tatizo wanajua kabisa kwa nini Feisal ana kiburi,huenda yeye ndiyo ana codes za hatari akiamua kuzifungua kwa uwazi zaidi watu watatafutana.Wamwache kijana wa watu aende zake kwa amani na awalipe stahiki zao kuliko kukaza mishipa ya shingo mwisho wakaishia kudharirika.
Kwakweli hata mimi nashangaa, mtu ameshadai hataki kucheza yanga na kaamua kuvunja mkataba kwa kipengele kilichopo kwenye mkataba, then what??Kabisa, hapa swali la msingi ndo hilo tu. Kwann mnamkumbatia Fei?
Haya ndo matokeo yake. Kuzalilishana mitandaoni.Kwakweli hata mimi nashangaa, mtu ameshadai hataki kucheza yanga na kaamua kuvunja mkataba kwa kipengele kilichopo kwenye mkataba, then what??
Kwani kasema kashikwashikwa ?Wewe ukishikwa shikwa matterko na wahuni utanyamaza???
Yanga HAWAMTAKI.
Kuna siri gani hapa?"Siwezi kucheza yanga tena bora kipaji changu kife kabisa."
"Akiondoka Hersi narudi Yanga hata sasahivi."
"Sina shida na Yanga ila nina shida na Hersi"
[emoji16]
Dah awe na codes wabongo wajuaji kuliko Fei anavyojijuaTatizo wanajua kabisa kwa nini Feisal ana kiburi,huenda yeye ndiyo ana codes za hatari akiamua kuzifungua kwa uwazi zaidi watu watatafutana.Wamwache kijana wa watu aende zake kwa amani na awalipe stahiki zao kuliko kukaza mishipa ya shingo mwisho wakaishia kudharirika.
Na wata dhalilika zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kuna watu wamedharirika sana leo.Feisal wakizidi kukuletea mdomo,weka kila kitu hadharani kabisa
Kwa upuuzi kama huu lazima wadhalilikeNa wata dhalilika zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee subiri uonee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa upuuzi kama huu lazima wadhalilikeView attachment 2643355