Ishu ni kugombania mamlaka na ushawishi kati ya watu wawili. Kumbukeni Hersi amemkuta Feisal tayari yupo Yanga.
Baada ya Hersi kufanya mabadiliko na kuondoa wachezaji karibia wote kama alivyojisifia kule SA, Feisal ni mmoja wa wachezaji wachache waliobakishwa. Ishu ya Feisal na Hersi ni kutunishiana misuli nani mkubwa pale.
Inawezekana kabisa kwa sababu hizi Hersi alijaribu kwa makusudi kumfanyia mambo ya kumshushia hadhi na utu Feisal, na kumlipa kiduchu ni moja ya mbinu hizo.
Tuishi humu maana mzizi wa drama zote hizi ni huu.