Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
FEISAL SALUM ana ofa ya Mkataba mpya kutoka Azam ambao ni wa miaka miwili.
Mchezaji ametaka Signing fee ya Billion 5 (5,000,000,000) kwa miaka yote miwili pamoja na mshahara wa Million 200 (200,000,000) kwa mwezi.
Tetesi ni kuwa Azam wapo tayari kumpa BILLION 4 na mshahara wa Million 120 Mwanandinga huyo.
Ukiachana na Azam wale Mapacha wa Kariakoo wote wanamhitajia pia lakini kwasasa ni mchezo wa hela.