Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Mil 200 nyingi sana.Acha niongee mnione mbaya, kiwango cha fei hakijafikia kulipwa hata theluthi ⅓ ya hiyo monthly payment (200 milioni)achilia mbali hiyo signing fee ya mchongo
Mil 200 nyingi sana.Acha niongee mnione mbaya, kiwango cha fei hakijafikia kulipwa hata theluthi ⅓ ya hiyo monthly payment (200 milioni)achilia mbali hiyo signing fee ya mchongo
Habari za kuokoteza, yani kanji auze ngano akalipe mchezaji 200m na hajampa kombe lolote 2 consecutive years mnamasiharaMil 200 nyingi sana.
Akiwa na wachezaji 10 wa ivyo, ni kama amekikabidhi kiwanda cha Maji ya Uhai bure.Habari za kuokoteza, yani kanji auze ngano akalipe mchezaji 200m na hajampa kombe lolote 2 consecutive years mnamasihara
Ishu sio pesa kuwa Benki maana hata asiye tajiri anaweka, Ishu ni hiyo Kauli kuonekana ina udanganyifu au ulaghai ndani Yake Kwa maana ya kwamba watu wanataka kuona Value for Money...Pesa iko Benki halafu Kwa ground mambo hayaeleweki huo si upunguani?Kwani matajiri huwa wanatunza pesa zao wapi, nyumbani? Nawashangaa wanaoshangaa pesa kuwekwa benki, maybe kwa kuwa tunatofautiana.
Kwa hiyo Mo amedanganya kwa kusema pesa yake ipo benki? Hoja nyingine mzitoe baada ya kutafakari, msiende na mkumbo wa upepo tu, vinginevyo wote mtachukuliwa kama punguaniIshu sio pesa kuwa Benki maana hata asiye tajiri anaweka, Ishu ni hiyo Kauli kuonekana ina udanganyifu
Pesa iko Benki inafanya nini?, Value for money haionekani halafu unajigamba kuwa pesa ipo Benki?, kama pesa ipo Benki basi ionekane kweli inafanya kazi na matokeo Yaonekane kinyume na hapo watu wataona ni hadithi tu...Kwa hiyo Mo amedanganya kwa kusema pesa yake ipo benki? Hoja nyingine mzitoe baada ya kutafakari, msiende na mkumbo wa upepo tu, vinginevyo wote mtachukuliwa kama punguani
Mfano una mpangaji hatoi ela ya kodi kwa wakati anatoa nusu nusu ila unamsikia kila siku anawaambia wapangaji wenzake pesa anazo zipo Bank nyingi.Kwa hiyo Mo amedanganya kwa kusema pesa yake ipo benki? Hoja nyingine mzitoe baada ya kutafakari, msiende na mkumbo wa upepo tu, vinginevyo wote mtachukuliwa kama punguani
Ni kweli Fei siyo mchezaji wa pesa hizo lakini mara zote bei inapagwa kutokana na demand yako na Fei ni target no 1 kwa timu zote hapa nchini .Hype ila hana kiwango cha kulipwa pesa hiyo kwa nchi yetu hadi sasa si wa nje wala wa ndani ana kiwango cha pesa hiyo.
Kwenye maisha usikae pembeni na zigo la mawazo ya kushindwa kabla hujajaribu. We jaribu changamoto utakunana nazo huko huko na zina mlango wa kutokea.... kwani shing ngapiiiiiiiiiiWewe wasema!
Inategemea kama kamaliza mkatana au badoSigning Fee anapewa mchezaji au?
Duniani kote watoto wachache Sana wanachagua soka na kwenda academy kisha kufanikiwa kuwa elite professional footballers.Hivi kwa nini vijana hamchangamkii hii kombi ya futiboli... khaaaa .... hamuoni fursaaaa?
Kiwanda cha Uhai ni 200M.Akiwa na wachezaji 10 wa ivyo, ni kama amekikabidhi kiwanda cha Maji ya Uhai bure.