Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sidhani kama wanamfanyiaje kazi Yanga. Simba hatukufika bei tu and inawezekana Azam inataka kuanza kutengeneza Malegend wake taratibu.Azama wanaifanyia kazi Yanga,ya kuikwamisha Simba kumpata Fei.
Hata hivyo,pamoja na kua nae,lkn Azama hawajaweza kutwaa kombe lolote kwa miaka miwili iliyopita.
Hype ila hana kiwango cha kulipwa pesa hiyo kwa nchi yetu hadi sasa si wa nje wala wa ndani ana kiwango cha pesa hiyo.Duu million 200 kwa mwezi?? Kwa mwaka billion 1. 2 kwa miaka miwili?? Aisee mpira unipa sana. Lkn kiwango chake cha kati tu
Wewe wasema!Hivi kwa nini vijana hamchangamkii hii kombi ya futiboli... khaaaa .... hamuoni fursaaaa?
Kwani Dirisha si lishafungwa?Azama wanaifanyia kazi Yanga,ya kuikwamisha Simba kumpata Fei.
Hata hivyo,pamoja na kua nae,lkn Azama hawajaweza kutwaa kombe lolote kwa miaka miwili iliyopita.