Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

Picha inasema
5a7b656b1c8343c5a24d9c23707904ec.jpg
 
Yaani aende Azam halafu wanaofurahi ni mikia???kwamba ikikutana Azam na Mikia Fei hatowafunga?..
Mimba changa huambatana na mengi,yaani wengine huwa wanasikia Raha hata kunusa harufu ya viatu vya waume zao tu.

Tunamsubiri Manzoki,si mna hela ya kumtoa China!

Mikia bana

By Aloyce Nyanda Mtozi.
Nendeni CAS sasa mkashitaki wapumbavu sana gongowazi
 
Simba na Tff walishirikiana ku mpeleka Morrison Simba ila gharama na fedha iliyotumika kufanikisha swala hilo limewatia adabu viongozi wa Simba na Tff. Barbara hato sahau pesa iliyotumika, kufanikisha Dili ilo kichaaa.[emoji3][emoji3]
Kwahiyo yanga hawajagharamika?na kumkosa wakamkosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado Mayele
Acha kuweweseka. Hata kabla ya kuja Mayele, walishawahi kupita washambuliaji wakali zaidi yake! Mfano Nonda Shaban, aliyewahi kupita Yanga, na kuishia kucheza Uefa Champions League akiwa Monaco!

Mayele kitu gani bhana. Yanga ni kubwa kuliko yeyoye yule.
 
yanga inakuwa kama majinga fulani linapokuja suala la kuachwa. Bila kugombana na mchezaji hajahama. Ilikuwa hivyo kwa BM3, Saido na sasa Fei. Huo ni upungani aisee acheni upuuzi

nimeandika mwandiko wenu mnielewe
Saido tena
 
Yaani aende Azam halafu wanaofurahi ni mikia???kwamba ikikutana Azam na Mikia Fei hatowafunga?..
Mimba changa huambatana na mengi,yaani wengine huwa wanasikia Raha hata kunusa harufu ya viatu vya waume zao tu.

Tunamsubiri Manzoki,si mna hela ya kumtoa China!

Mikia bana

By Aloyce Nyanda Mtozi.

Umeandika kwa hisia kali sana dah[emoji26]
 
Umeandika kwa hisia kali sana dah[emoji26]

Fei katuangusha wananchi ,wangekaa chini kama kumuongezea mpunga na maslahi mengine ni sawa tu kuliko kutupiga kwenye mshono...Hayo mambo aliyoenda kupata Azam angeweza pia kuyapata ndani ya yanga.

Kupangishiwa nyumba nzuri au gari zuri na mshahara wa 16m yanga wana uwezo huo.
 
Back
Top Bottom