πππ wanamzungusha ile wapate chochote kitu hivi wewe hujawahi kupanda boda anakupeleka eneo ambalo hulijui kumbe lipo karibu tu. Atakuzungusha wee ili akutajie pesa nyingiWanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu πππ³π³π³π³ hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
Wanaovunja mikataba Instagram na wanaotaka sheria zifuatwe, nani waswahili?View attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Wasimamie moja hata kama yapo mengi?We ushangai kua mawakili wa Feisal kila siku wanakuja na jambo jipya?
Kwanini wasisimamie moja wanaloona wapo sahihi
Wapo sawa sawa na waganga wa kienyeji au mafundi njaa. Wako radhi wakuharibie kazi au kitu chako, lakini sio kusema hicho/ hilo siliwezi.Naona Fei hataki kukubali, kaona achukue Wakili mwingine ili aweze kula pesa zake.
Mawakili na Wanasheria hawajawahi kusema suala linashindikana au wewe hutoboi, lazima wachukue pesa baadae ndio utaambiwa suala limeshindikana.
Dejan hata Mbao FC hapati numberYanga wana ujinga sana, kama mtu hakutaki ya nini? Ona Simba ilivyomkaushia mzungu Dejan
Kama hawezi kwenda CAS anapoteza mda wake bureMi siamini kwenye hukumu hii ya TFF kama imefanya haki kwa jinsi mwenendo wa hii kesi ulivyokuwa.
Swala la kwanini hajaenda CAS kuna mambo mengi, muda au gharama ya kuendesha kesi (kitu ambacho naamini Yanga ndio wamelichukulia kama weakness ya kuweza kumshinda)
Kesi ya msuva na fei ni tofauti kabisa, msuva alikua ana wadai wydad pesa za usajili pamoja na mishahara. Usipomlipa mchezaji mshahara wa miez 3 unakuwa umeuvunja mkataba.Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Yakishalegea π€Sisi hatutaki yy acheze, atasugua benchi mpaka matako yalegee
Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.
TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Yanga ndo imemrudisha au TFF?Wasimamie moja hata kama yapo mengi?
Sheria zinasema mchezaji aliyevunja mkataba alipishwe faini na kupewa adhabu ya miezi minne offline
Na adhabu ikiisha hawezi kuwa mchezaji wa hiyo timu
So why Yanga imemrudisha bila kufata utaratibu huo?
Hapo ndio wasiwasi wangu wa hii kesi kufanyika gizani unapokuja, hii kesi ingewekwa open kama ilivyokuwa kwa Morrison basi tungeshuhudia vitu vya ajabu sana
Nadhani ndio sababu TFF hawakutaka kuiweka bayana
Sio kwamba hawaelewi ni wanataka tu kuilaumu YangaKesi ya msuva na fei ni tofauti kabisa, msuva alikua ana wadai wydad pesa za usajili pamoja na mishahara. Usipomlipa mchezaji mshahara wa miez 3 unakuwa umeuvunja mkataba.
Kesi ya msuva ilikua upande wake kabisa ila hii ya fei ni tofauti.
Sijui kwann hamuelewi kabisa suala la fei na yanga!!
Hivi hawezi akaamua kubaki lakini asiwe anacheza inavyotakiwa ili wamfukuze, kwamfano akitupiwa pass anabutua mpira uende nje au kukosa magoli ya waziMchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum, Machi 6, 2023 amefika kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha ombi kulitaka Shirikisho hilo kuuvunja mkataba wake na Yanga ikiwa ni siku chache zimepita tangu shauri lake litupiliwe mbali.
Naona unazifundisha taasisi majukumu yaoSwala la adhabu linaidhinishwa na mahakama kwa mujibu wa sheria za FIFA na imeset hadi categories za adhabu kulingana na circumstances ya mtuhumiwa
Taasisi inaendeshwa kwa kufuata sheria na mi nimepoint sheria inayoonesha imekiukwaNaona unazifundisha taasisi majukumu yao
Kesi ya msuva na fei ni tofauti kabisa, msuva alikua ana wadai wydad pesa za usajili pamoja na mishahara. Usipomlipa mchezaji mshahara wa miez 3 unakuwa umeuvunja mkataba.
Kesi ya msuva ilikua upande wake kabisa ila hii ya fei ni tofauti.
Sijui kwann hamuelewi kabisa suala la fei na yanga!!
Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.Hiv ni kweli kiwa mkataba haukuweka option ya Fei kuweza vunja mkataba ?
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Maumivu yameongezwa na yule muuza Mishikaki pale Buguruni.Ni wakati wa wazawa kuthaminiwa Morison analipwa ela nyingi Kwa ajili ya kufuga ndevu pale jangwani. Sasa Kila mmoja anawaza destination yake.Maisha yatakuwaje baada ya Soka?
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Madunduka FC [emoji1787]Wengine wakina nani ?