Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Hivi hawezi akaamua kubaki lakini asiwe anacheza inavyotakiwa ili wamfukuze, kwamfano akitupiwa pass anabutua mpira uende nje au kukosa magoli ya wazi
Atakua anamkomoa nani?
 
Nakazia AFYA ya Mchezaji kimwili na kiakili.
 
Wakili wa online mbona mteja wako ananyanyasika wewe upo busy unabishana huku
 
Kwani hujui amekwenda TFF kwasababu Yanga hawatoi ushirikiano?

Walivyowekewa ile milioni 100 kwanini waliirudisha?

TFF wakiwabeba tena kama walivyowabeba kabla kwenye kesi ya Hersi na Manara ambayo wamekaa kimya mpaka leo, ndio huyo wakili anajua ataelekea wapi.
 
Wanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu [emoji3][emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
Wajinga mpo wengi sana.
 
Si huwa mnatuhakikishia kuwa Mwamba (Mtoto wa Bahressa) ndiye yuko nyuma yake?

Pesa inakosekanaje tena hapo? [emoji28]
 
Kesi hii ina msukumo wa kisiasa hasa kwa vile inmgilusa mchezaji Mzanzibari. Tunza maneno yangu kama hukuelewa sasa utaelewa baadaye
 
Sema mi nafurahi sana kuona wana Uto wa leo mkiwa mna imani sana na TFF

Mmekuwa tofauti na Uto kwa kile kipindi cha shauri la Manara

Wale Uto waliotaka hadi kuandamana kwenda kwa Mama kisa hawaiamini TFF walikuwa ni incredibly stupid sana
Imani gani nakati hata hivi karibuni Makolokolo mlipendelewa kupewa ruhusa ya kughairi mechi kwa sababu za kipuuzi kabisa mkiwa mnatalii Dubai ilihali YANGA FC ilinyimwa hata siku 2 tu na ilikuwa na sababu za msingi hasa kwa kutopumzika ilipotoka kucheza na Africain FC Tunisia?


TFF = Makolokolo FC tukianzia na Rais mwenyewe, hutaki pita vile.
 
Upo sahihi kabisa. Mkataba wa Faisal una release clause. Sema Yanga wanaleta usumbufu usio wa lazima. Kumg'ang'ania mchezaji ambae hawamtaki that's amount to forced labour.
 
Yanga wana ujinga sana, kama mtu hakutaki ya nini? Ona Simba ilivyomkaushia mzungu Dejan
We jamaa sijui kama una akili kichwani, ukishakuwa Shoga basi akili huhamia makalioni. Always unawaza in a negative way, madhara ya kuni hayo.
 
So what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
...Mke hakutaki Tena, wewe unamng'ang'ania Ukitaka Mpaka mgawane Mali?
Hakutaki, achana Naye, mwache aende!...[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…