Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi Wala haitaji kwenda Tff .Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja.
Maana apo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.
Tff watakacho mwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walicho kihitaji.
Ila Sasa ni wazi Feisal Hana watu sahihi wa kumwongoza au ushauri wa kitaalamu anao pewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
 
Naona fei hataki kukubal kaona achukue wakili mwingine ili aweze kula pesa zake mawakili na wanasheria hawajawah kusema suala linashindikana au ww hutoboi lazma wachukue pesa baadae ndo utaambiwa suala
Limeshindikana
So what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
 
Kila la kheri kwake. Sisi tupo, tunasoma mchezo kwa mbaaali
 
Wanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu [emoji3][emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
Wanasheria wao hawana kosa kazi Yao ni kupiga mpunga, Uzuri wa Ili swala wadau wote wa mpira wanajua nani anaye mpa kibri Feisal.

Inawezekana Feisal anafikiri TFF na Yanga hawajui kinacho endelea ndio maana Kila siku ana badilishiwa wasimamizi wa swala lake. Hiyo yote ni fedha inateketea.
 
Wanasheria wao hawana kosa kazi Yao ni kupiga mpunga, Uzuri wa Ili swala wadau wote wa mpira wanajua nani anaye mpa kibri Feisal.
Inawezekana Feisal anafikiri Tff na Yanga hawajui kinacho endelea ndio maana Kila siku ana badilishiwa wasimamizi wa swala lake. Iyo yote ni fedha inateketea.
Feisal anafikiri TFF hawajui kinachoendelea na kesi anapeleka kwao.
 
Back
Top Bottom