Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
 
Naona fei hataki kukubal kaona achukue wakili mwingine ili aweze kula pesa zake mawakili na wanasheria hawajawah kusema suala linashindikana au ww hutoboi lazma wachukue pesa baadae ndo utaambiwa suala
Limeshindikana
So what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
 
Kila la kheri kwake. Sisi tupo, tunasoma mchezo kwa mbaaali
 
Wanasheria wa Tanzania pumbavu kabisa, hawana cha kushauri mtu [emoji3][emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hii issue ni ya hiyari kwa Yanga
Wanasheria wao hawana kosa kazi Yao ni kupiga mpunga, Uzuri wa Ili swala wadau wote wa mpira wanajua nani anaye mpa kibri Feisal.

Inawezekana Feisal anafikiri TFF na Yanga hawajui kinacho endelea ndio maana Kila siku ana badilishiwa wasimamizi wa swala lake. Hiyo yote ni fedha inateketea.
 
Feisal anafikiri TFF hawajui kinachoendelea na kesi anapeleka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…