Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Unataka mimi nikujibu nini?Nani amekwambia Fei anauzwa Billion? au magezeti ya udaku unayosoma kutwa ndio yanakufanya ujione unazijua sana za ndani.
Kuvunja mkataba sio rahisi kama unavyodhani.s
Sio rahisi lakini option ya mwisho aliyonayo kwa hapa ndaniKuvunja mkataba sio rahisi kama unavyodhani.
Amenishangaza pia namna alivyoiweka sentensi yake kana kwamba mpira wa tz ni mayele.. kwamba akiguswa mayele mpira hamnaHakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 [emoji1787][emoji23][emoji1787]
mmemjaza dogo naye alivyo mjinga amejaa.Muda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
Ofisi za Yanga hazipo TFF,Yanga buana ☺☺☺
Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote😳
Kampakulie mumeo. Mpira sio vijoraSo what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
Wakili hanaga interest na kesi yako hata akijua kabisa haina mashiko yeye atakula hela tu si umejipeleka.Hata hawa mawakili hawana akili kabisa, bora angeenda kuongea na Engineer Hersi mwenyewe.....
Mayele anacheza mpira, hao wengine wanachezea mpira.Amenishangaza pia namna alivyoiweka sentensi yake kana kwamba mpira wa tz ni mayele.. kwamba akiguswa mayele mpira hamna
Wamuache mzinze waanze kuhangaika na vikongweHakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 🤣😂🤣
Mameneja feki ndiyo wanampotoshaNani yupo nyuma ya Feisal?
Kamuongoze weye hapoKama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.
TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Hata sabaya na mawakili wake walipambana sana kiume na mwisho wakaacha ALAMA.Acha apambane...huo ndio uanaume...
Na kwa hili ataacha alama...
Huyu tunamfanya mfano kwa waswahili wote.Mpaka afanikiwe, ile Signing fee yote inaishia kwa Mawakili.
Wamwachie tu..
Acha mawakili wale pesa za boya.Hata hawa mawakili hawana akili kabisa, bora angeenda kuongea na Engineer Hersi mwenyewe.....
Sasa mbona faisal haindi CAS kama kweli anajiamini 😂Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Bangi ni zao kama mtama, korosho, ulezi na uweleNasiki na mkude ndio pusha wao pale bunju
Ile Club ilianzishwa na wazungu, na ndio maana unaona mambo yanafanyika kizungu.Dejan na Mbumbumbu fc walimalizana ki staarabu kwakua wote walikiuka makubaliano ya ki mkataba na walijitambua. Sasa ukishauriwa na vilaza mwishowe ni ku umia tu.
Na Morrison naye ni mchezaji wa nje, je alikuwa makini?Usimfananishe Mdhungu na huyo mzanzibar.
Wachezaji wa nje wapo makini sana kwenye ishu za mikataba..