Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Iliyobaki ni kumlazimisha Feisal acheze. Yaani anapangwa kwenye kikosi dhidi ya TP Mazembe, na analazimishwa apige shuti goli liingie. Atake atapiga shuti, asitake atapiga shuti
Ngoja mashuti yake ayaelekeze kwa Diarra ndiyo labla watamuelewa.
 
amekopa akiwa na uhakika zitarudi na atalipa. Kukopa akiwa anachezea Yanga hakuwa na uhakika wa kulipa, ndo akaamua tu ale ugali na sukari
Feisal ana watu! 🤣😂🤣😂
 
amekopa akiwa na uhakika zitarudi na atalipa. Kukopa akiwa anachezea Yanga hakuwa na uhakika wa kulipa, ndo akaamua tu ale ugali na sukari
Boko anakula pilau nyama matokeo yake tumeyaona. Hazeeki kijana yupo ngangari
 
Hili ndio lilikuwa limebaki, kuna watu wanaona kijana hajui anachofanya mimi naona yuko sawa, kaanza na hatua ya kutingisha timu ya yanga kama wanamuweza ameona ngoma ngumu sasa anataka kuvunja aondoke
Vigezi vya kuvunja viko palapale kwa mujibu wa FIFA. Tumia akili sio matako kufikiri.
 
Achaneni nae huyo mpuuzi kuna mambo kibao ya kujadili kuhusu sport sio yeye kila siku
 
Wanasheria wao hawana kosa kazi Yao ni kupiga mpunga, Uzuri wa Ili swala wadau wote wa mpira wanajua nani anaye mpa kibri Feisal.
Inawezekana Feisal anafikiri Tff na Yanga hawajui kinacho endelea ndio maana Kila siku ana badilishiwa wasimamizi wa swala lake. Iyo yote ni fedha inateketea.
Mkuu ebu nifafanulie kidogo hili swala la fei toto
 
Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA

View attachment 2539157
Uyu dogo anapotezwa sana na kenge wa pembeni, ina maana tff ndio waliomuajiri fei toto? Iyo barua wangeielekeza kwa mwajiri wake ambae ni yanga ili wakae mezani wayamalize, Sasa wanapeleka barua ya kuvunja mkataba tff kwaiyo tff ina uwezo gani wa kuvunja mkataba pasipokuwepo na hoja yeyote ya maana?
 
Back
Top Bottom