Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Hakuna anayemtaka Mayele anayefunga goli moja baada ya mechi 8 [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Amenishangaza pia namna alivyoiweka sentensi yake kana kwamba mpira wa tz ni mayele.. kwamba akiguswa mayele mpira hamna
 
Muda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
mmemjaza dogo naye alivyo mjinga amejaa.

Sasa aliingia huo mkataba na TFF au na Yanga???
 
Acha apambane...huo ndio uanaume...
Na kwa hili ataacha alama...
 
Hata hawa mawakili hawana akili kabisa, bora angeenda kuongea na Engineer Hersi mwenyewe.....
Wakili hanaga interest na kesi yako hata akijua kabisa haina mashiko yeye atakula hela tu si umejipeleka.
 
Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.

TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Kamuongoze weye hapo
 
Dejan na Mbumbumbu fc walimalizana ki staarabu kwakua wote walikiuka makubaliano ya ki mkataba na walijitambua. Sasa ukishauriwa na vilaza mwishowe ni ku umia tu.
Ile Club ilianzishwa na wazungu, na ndio maana unaona mambo yanafanyika kizungu.

Yani swala la Feisal saizi ni kama strugles zake zote haangaikii kuvunja mkataba wa mpira, ana hangaika kuvunja mkataba wa Rome
 
Dogo boya sana. Anapoteza muda na kahela kake tu kwa hao wawakilishi wake. If they had been frank with him wangemwambie atulie tu asubiri mkataba wake uishe hiyo hela ale wali na kuku aache kula ugali na sukari. Anapoteza muda wake bure tu hamna kitu kitabadilika.
 
Back
Top Bottom