Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aambiwe huo utaratibu aondoke zake. Huu utaratibu mbona ni siri kubwa hivi? Kama alikosea si anaambiwa alipokosea na ni nn cha kufanya? asahihishwe kwa kuambiwa ni nn afanye aondoke. Kila siku utaratibu, utaratibu mchezaji hataki kuwepo kikosini. Yanga imwambie wazi, ukitaka kuondoka fanya A,B,C vile ulivyofanya sio sawa kwa sababu A,B,C.Fei Kaonewa Nn?, Alikuwa Halipwi?,Alikuwa Hachezi?,Alilazimishwa Kusaini Huo Mkataba Wa Million 4?, Amezuiliwa Kuondoka Hapo Yanga? Au Wanachotaka Yanga Ni Yeye Kufuata Utaratibu Wa Namna Ya Kuondoka Hapo Yanga?
Mmefanya Feisal kuwa ni adui yenuSoon ataanza kula ugali na chumvi.
Mkataba wa faisal na yanga bado ni halali na tff wameshatoa maelezo juu ya hilo sasa kama Faisal kama anataka kuvunja mkataba afike ofisi za Yanga tumtajie dau la kuvunja mkataba huko TFF alipoenda kaingia chaka ataambiwa aende Yanga kumalizana napo.Sawaa ila kilichofuata ni nini? Pande zote mbili zililimaliza na maisha yakaendelea. Hilo ndilo post ile inauliza, kinachozuia pande hizi mbili kulimaliza suala lao ni nini?
Yanga hawawezi kuendelea milele kujificha kwenye kivuli cha "aje mezani tuongee". Mkataba umekiukwa, dogo hataki kuendelea kucheza, nini kinafuata? Je akitangaza kustaafu kucheza soka akavue pweza mtaendelea kumtumia mshahara wake?
Utaratibu kesho aje ofisi za Yanga tumpe maelekezo kabla mawakili pori hawajamfilisi.Aambiwe huo utaratibu aondoke zake. Huu utaratibu mbona ni siri kubwa hivi? Kama alikosea si anaambiwa alipokosea na ni nn cha kufanya? asahihishwe kwa kuambiwa ni nn afanye aondoke.
Walifata utaratibu.mbona Makambo na Bigirimana walivunjiwa kirahisi tu katikati ya msimu?
Sure. Nadhani Yanga wakubali kuvunja mkataba na kulipwa fidia ya uvunjaji huo. Naamini Feisal na wadau wake wana pesa ya kuwalipa YangaMuda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
Labda uniambie Yanga ilifuata utaratibu, maana wao waligoma kuondokaWalifata utaratibu.
Kesi ya msuva ilikua sawa na ya Feisal?Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Utaratibu mpeni wazi mashabiki zenu wazifahamu. Siri za nn na mtu keshawashtaki? Hela haikutosha aliyoweka?Utaratibu kesho aje ofisi za Yanga tumpe maelekezo kabla mawakili pori hawajamfilisi.
Yanga ni taasisi,taasisi yoyote inataka taratibu zifuatwe sio kuleta uhuni,taratibu zikifuatwa feisal mbona ataondoka tu Yanga tena kiulainiMuda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
Faisal sio adui wa yanga ila ni opponent wa yanga kwenye kesi alizoshindwa tena mara 2.Mmefanya Feisal kuwa ni adui yenu
Dhana ya adui muombee njaa ndio nayo iona hapa
Watanzania ni debe tupu mkuu, kazi ya kupiga kelele bila ya sababuMsuva alikua halipwi mshahara na kanuni zipo wazi.
Feisal ata aende CAS atarudishwa Kuja kumalizana na Yanga kwanza ndio apewe nafasi kwenda klabu nyingine.
CAS haijaundwa Ili kuvikamdamiza vilabu, na bahati Mbaya CAS uwa wanaomba ufafanuzi wa mgogoro uliopo na FA ya Nchi husika. Apo ndipo Feisal anakwenda ku unguzwa.
Inaonekana yeye ni remote controlerKwani Shangazi nae kesi imemshinda?
Taratibu zipi? Zile alizozifanya ni za kiuni, sahihi ni zipi? Anatakiwa kufanya nn?Yanga ni taasisi,taasisi yoyote inataka taratibu zifuatwe sio kuleta uhuni,taratibu zikifuatwa feisal mbona ataondoka tu Yanga tena kiulaini
Sawaa atakuja kesho saa 3 asubuhi ofisi za GSM 🤣😂🤣Mkataba wa faisal na yanga bado ni halali na tff wameshatoa maelezo juu ya hilo sasa kama Faisal kama anataka kuvunja mkataba afike ofisi za Yanga tumtajie dau la kuvunja mkataba huko TFF alipoenda kaingia chaka ataambiwa aende Yanga kumalizana napo.
Oya kesho Faisal aje ofisi za Yanga aseme shida yake secretary atamuelekeza venye mambo hufanyika kwenye mikataba.Utaratibu mpeni wazi mashabiki zenu wazifahamu. Siri za nn na mtu keshawashtaki? Hela haikutosha aliyoweka?
Hahahaha.Oya kesho Faisal aje ofisi za Yanga aseme shida yake secretary atamuelekeza venye mambo hufanyika kwenye mikataba.