Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Namshauri Fei asi thubutu kwenda CAS bila kuongea na kukubaliana na uongozi wa juu wa Tff. Ata kama anahisi haki anayo ila ki uhalisia haki aipo upande wake.
FIFA/CAS ni taasisi huru, Kwa namna kesi yake ilivyo kama Tff hawatakua nae pamoja matokeo ya kesi ni kupigika kama Ngoma na majibu yata mchakaza kwelikweli.
Bond iliyopo kati ya FA na FIFA ni kubwa sana Kwa Fisal kuivunja wanategemeana Kwa mambo mengi sana.

Kuna kipindi Aliyekua Mwenyekiti wa FAT Muhidini Ndolanga alikua aki ingiziwa fedha za miradi ya FIFA katika account binafsi. na FIFA ilikua inatambua.
Ilibididi Serikali itumie nguvu za ziada kumtoa Ndolanga pale FAT.
 
Yanga buana ☺☺☺

Kwanini wasimuache aende!? Au ndio Ile roho mbaya ya tukose wote😳
Kwa mtindo wake huo watawaacha wangapi, leo huyu akiachwa kirahisirahisi kesho atakuja mwingine, naye ataachwa! Ujue mpaka kumsajili mtu zimetumika pesa ndefu ukiacha za hitimisho.
 
Tatizo la Yanga njaa, Yanga inahistoria ya kuwabania wachezaji wake ulaji
 
Mtu amerudisha pesa za usajili na mshahara miezi mitatu lakini bado haijatosha kufanya mkataba uwe eliminated

Utaratibu gani huo ambao kila mkiuzungumzia mnafanya uonekane ni utaratibu mgumu sana na wenye complex zaidi
Pesa za mshahara wa miezi mitatu ni sehemu ndogo sana ya utaratibu baada ya pande mbili kukaa mezani na kukubaliana.

Je, Faisal ameshakaa mezani na Yanga na kujadili kuwa anataka kuvunja mkataba wake ????
Very soon ataanza kula ugali na magadi.
 
Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Kwasababu Wydad hawakutimiza vipengele vya katiba, kama vile kutomlipa stahiki zake. Simple. Feisal kuna lolote analoidai Yanga? Kuna pesa yake ya mshahara au bonus ambayo hakuwahi kupewa?
 
Acha u mbumbumbu, Duniani umewahi sikia FA inapanga thamani ya mchezaji!! Klabu ndio inapanga thamani ya mchezaji yeye ni Asset ya club.
Thamani ya mchezaji haipatikani Kwa mshahara pekeyake Kuna gharama zilizo tumika kufikiasha kiwango chako pale kilipo.
Mfano training facility, Makocha, Malazi ,ujuzi n.k msikurupuke Kwa msiyo yafahamu.
Jielimishe na sheria za FIFA.
Kwa faida yako na wana Utopolo wenzio.
 

Attachments

Yanga wanalinda mpira usiharibiwe. Fikiria hao wanaomlaghai fei watumie njia hizo hizo kwa mayele au job kutakuwa na soka kweli?
Wao ndo wake chini waboteshe vipengere vya mikataba yao isiwe na mashimo,
 
Waliokua wanasema Feisal kaonewa sasa mmepata jibu, kwanini hataki kwenda CAS kama anaona anayo haki?
 
Mutual agreement sio necessary na hii tena ilielezwa ijumaa sports HQ na wakili
Yani mutual agreement sio necessary as per wakili wa kwenye Sports HQ na wewe ukalibeba kama lilivyo???

Kwa taarifa yako hicho ni moja ya kipengele kilichomsababisha Faisal arudi nyumbani akiwa analia baada ya maamuzi halali ya TFF.
 
Wataalamu wa sheria mtatusaidia......
Nilivyoelewa Worst case scenario ni fei kufungiwa miezi minne mpaka sita.
Na kulipa thamani ya mkataba uliobakia.
Screenshot_20230306-152149_Drive.jpg
 
Kwasababu Raja hawakutimiza vipengele vya katiba, kama vile kutomlipa stahiki zake. Simple. Feisal kuna lolote analoidai Yanga? Kuna pesa yake ya mshahara au bonus ambayo hakuwahi kupewa?
Ana ugonjwa wa sonono na msongo wa mawazo na hawezi tena kuendelea kucheza mpira popote
 
Back
Top Bottom