redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Namshauri Fei asi thubutu kwenda CAS bila kuongea na kukubaliana na uongozi wa juu wa Tff. Ata kama anahisi haki anayo ila ki uhalisia haki aipo upande wake.
FIFA/CAS ni taasisi huru, Kwa namna kesi yake ilivyo kama Tff hawatakua nae pamoja matokeo ya kesi ni kupigika kama Ngoma na majibu yata mchakaza kwelikweli.
Bond iliyopo kati ya FA na FIFA ni kubwa sana Kwa Fisal kuivunja wanategemeana Kwa mambo mengi sana.
Kuna kipindi Aliyekua Mwenyekiti wa FAT Muhidini Ndolanga alikua aki ingiziwa fedha za miradi ya FIFA katika account binafsi. na FIFA ilikua inatambua.
Ilibididi Serikali itumie nguvu za ziada kumtoa Ndolanga pale FAT.