Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Feisal Salum 'Feitoto' arudi tena TFF na Wakili wa Msuva, aomba kuvunja mkataba na Yanga

Pale zuwena Fc mna mchezaji gani anayemfikia mayele anayeweza hata kufunga kamba za viatu za mayele
Tuyaache hayo ila Zuwena ni makeup tu ile inawavuruga ila ni bonge la pisi ile 🤣😂🤣
 
Aambiwe huo utaratibu aondoke zake. Huu utaratibu mbona ni siri kubwa hivi? Kama alikosea si anaambiwa alipokosea na ni nn cha kufanya? asahihishwe kwa kuambiwa ni nn afanye aondoke. Kila siku utaratibu, utaratibu mchezaji hataki kuwepo kikosini. Yanga imwambie wazi, ukitaka kuondoka fanya A,B,C vile ulivyofanya sio sawa kwa sababu A,B,C.
Sasa kama Feisal mwenyewe hataki kwenda kuchukua huo utaratibu yy kakazana na TFF kwa nini mnailaumu Yanga?
Maana hatujawahi kusikia kua Feisal kaenda kwa Viongozi WA Yanga akiomba kuvunja mkataba ila tunachosikia Kila Leo ni kesi pale Tff
 
Wewe unadhani kama utaratibu umefuatwa kwanini kwenye kesi kaambiwa bado ni mchezaji halali wa Yanga? Na kama kaona kuna uonevu kwenye hukumu kwanini hataki kwenda CAS badala yake kaandika tena barua kwenda TFF kuomba kuvunja mkataba na Yanga?
Mi siamini kwenye hukumu hii ya TFF kama imefanya haki kwa jinsi mwenendo wa hii kesi ulivyokuwa.

Swala la kwanini hajaenda CAS kuna mambo mengi, muda au gharama ya kuendesha kesi (kitu ambacho naamini Yanga ndio wamelichukulia kama weakness ya kuweza kumshinda)
 
Pale zuwena Fc mna mchezaji gani anayemfikia mayele anayeweza hata kufunga kamba za viatu za mayele
1678106618786.png
 
Kama mawikili wa faisal wanaona wameonewa mbona wamegoma kwenda CAS??
Nimeeleza japo juu

Pengine nawe nikuulize. Kama mawakili wa Feisal hawakuonewa kwanini walisema hawajaridhishwa na maamuzi ya TFF na kwamba haijafanya haki?
 
View attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Uyo Dejan alikuwa muuza matikito tu aliokotwa uko ulaya akaletwa huku Africa akawa mchezaji alivyoona mambo magumu kalala mbele
 
Yanga wana ujinga sana, kama mtu hakutaki ya nini? Ona Simba ilivyomkaushia mzungu Dejan
Kwahiyo Yanga wawaige Simba?

Uwaga unaakili kweli? Eti kama mtu hakutaki ya nini umeambiwa ni mapenzi hayo?

Nyie si ndo mlikua mnasema Yuko sahihi alipovunja mkataba mara ya kwanza? Imekuaje sasa anapeleka maombi ya kuvunja kataba tena?

Wakili Fatuma karume alidai anatakiwa apewe adhabu na kulipa fidia imekuaje tena anarudi kuomba kuvunja mkataba kama alikua sahihi?

Imekuaje haendi CAS?

Dejan vipengele vya mkataba wake vilikiukwa na ndo mana mkataba ukavunjika je Feisal vipengele gani vimekiukwa?
 
Nimeeleza japo juu

Pengine nawe nikuulize. Kama mawakili wa Feisal hawakuonewa kwanini walisema hawajaridhishwa na maamuzi ya TFF na kwamba haijafanya haki?
Kama hamjaridhishwa na maamuzi ya TFF fanyeni hima muende CAS mkadai haki yenu acheni porojo.
 
Kwahiyo Yanga wawaige Simba?

Uwaga unaakili kweli? Eti kama mtu hakutaki ya nini umeambiwa ni mapenzi hayo?

Nyie si ndo mlikua mnasema Yuko sahihi alipovunja mkataba mara ya kwanza? Imekuaje sasa anapeleka maombi ya kuvunja kataba tena?

Wakili Fatuma karume alidai anatakiwa apewe adhabu na kulipa fidia imekuaje tena anarudi kuomba kuvunja mkataba kama alikua sahihi?

Imekuaje haendi CAS?

Dejan vipengele vya mkataba wake vilikiukwa na ndo mana mkataba ukavunjika je Feisal vipengele gani vimekiukwa?
Mkuu usikomae sana, humu kuna vipost vingine ni vya kuchomekea tu, lakini kuna mambo mengine hata hatuyajui yanavyoendelea
 
Mkuu usikomae sana, humu kuna vipost vingine ni vya kuchomekea tu, lakini kuna mambo mengine hata hatuyajui yanavyoendelea
Huyo jamaa ukimsikiliza kwenye nyuzi za majukwaa mengine ni like mtu mwenye akili timamu lakini akija huku huwa anaongea uharo kabisa
 
Ndio maana nimekupa reasons ambazo probably ndio kikwazo kwa wao kufika hatua hiyo
Naona hata wewe ulokua unalitetea hili jambo lishaanza kukuchanganya sasa
 
Ndio maana nimekupa reasons ambazo probably ndio kikwazo kwa wao kufika hatua hiyo
Reason ni moja tu, Faisal alichemka na ndiyomaana mawakili wake wanaogopa kwenda CAS wanajua wataangukia pua kwa mara ya 3.

Very soon huyu dogo atakula ugali na magadi.
 
Back
Top Bottom