SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Tuyaache hayo ila Zuwena ni makeup tu ile inawavuruga ila ni bonge la pisi ile 🤣😂🤣Pale zuwena Fc mna mchezaji gani anayemfikia mayele anayeweza hata kufunga kamba za viatu za mayele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuyaache hayo ila Zuwena ni makeup tu ile inawavuruga ila ni bonge la pisi ile 🤣😂🤣Pale zuwena Fc mna mchezaji gani anayemfikia mayele anayeweza hata kufunga kamba za viatu za mayele
Kama mawikili wa faisal wanaona wameonewa mbona wamegoma kwenda CAS??Aliweka na sababu ambayo iko supported kisheria, mi tu nimesahau ila kama ukisikiliza utanielewa
Sasa kama Feisal mwenyewe hataki kwenda kuchukua huo utaratibu yy kakazana na TFF kwa nini mnailaumu Yanga?Aambiwe huo utaratibu aondoke zake. Huu utaratibu mbona ni siri kubwa hivi? Kama alikosea si anaambiwa alipokosea na ni nn cha kufanya? asahihishwe kwa kuambiwa ni nn afanye aondoke. Kila siku utaratibu, utaratibu mchezaji hataki kuwepo kikosini. Yanga imwambie wazi, ukitaka kuondoka fanya A,B,C vile ulivyofanya sio sawa kwa sababu A,B,C.
Mi siamini kwenye hukumu hii ya TFF kama imefanya haki kwa jinsi mwenendo wa hii kesi ulivyokuwa.Wewe unadhani kama utaratibu umefuatwa kwanini kwenye kesi kaambiwa bado ni mchezaji halali wa Yanga? Na kama kaona kuna uonevu kwenye hukumu kwanini hataki kwenda CAS badala yake kaandika tena barua kwenda TFF kuomba kuvunja mkataba na Yanga?
Pale zuwena Fc mna mchezaji gani anayemfikia mayele anayeweza hata kufunga kamba za viatu za mayele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]Tuyaache hayo ila Zuwena ni makeup tu ile inawavuruga ila ni bonge la pisi ile [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nimeeleza japo juuKama mawikili wa faisal wanaona wameonewa mbona wamegoma kwenda CAS??
SawaHawa ndio wanamdanganya huyu dogo
Uyo Dejan alikuwa muuza matikito tu aliokotwa uko ulaya akaletwa huku Africa akawa mchezaji alivyoona mambo magumu kalala mbeleView attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Feisal amekataa ushoga ndiyo mateso yote haya,kweli upinde wana nguvu sana.Nani yupo nyuma ya Feisal?
Hatuhangaiki, ila tunafanya timing ya michezo ya kimataifa inapokaribia tuwatoe kwenye reliWalisema wanaenda CAS, mbona wanaangaika si waende CAS.
Kwahiyo Yanga wawaige Simba?Yanga wana ujinga sana, kama mtu hakutaki ya nini? Ona Simba ilivyomkaushia mzungu Dejan
Kama hamjaridhishwa na maamuzi ya TFF fanyeni hima muende CAS mkadai haki yenu acheni porojo.Nimeeleza japo juu
Pengine nawe nikuulize. Kama mawakili wa Feisal hawakuonewa kwanini walisema hawajaridhishwa na maamuzi ya TFF na kwamba haijafanya haki?
Mkuu usikomae sana, humu kuna vipost vingine ni vya kuchomekea tu, lakini kuna mambo mengine hata hatuyajui yanavyoendeleaKwahiyo Yanga wawaige Simba?
Uwaga unaakili kweli? Eti kama mtu hakutaki ya nini umeambiwa ni mapenzi hayo?
Nyie si ndo mlikua mnasema Yuko sahihi alipovunja mkataba mara ya kwanza? Imekuaje sasa anapeleka maombi ya kuvunja kataba tena?
Wakili Fatuma karume alidai anatakiwa apewe adhabu na kulipa fidia imekuaje tena anarudi kuomba kuvunja mkataba kama alikua sahihi?
Imekuaje haendi CAS?
Dejan vipengele vya mkataba wake vilikiukwa na ndo mana mkataba ukavunjika je Feisal vipengele gani vimekiukwa?
Huyo jamaa ukimsikiliza kwenye nyuzi za majukwaa mengine ni like mtu mwenye akili timamu lakini akija huku huwa anaongea uharo kabisaMkuu usikomae sana, humu kuna vipost vingine ni vya kuchomekea tu, lakini kuna mambo mengine hata hatuyajui yanavyoendelea
Ndio maana nimekupa reasons ambazo probably ndio kikwazo kwa wao kufika hatua hiyoKama hamjaridhishwa na maamuzi ya TFF fanyeni hima muende CAS mkadai haki yenu acheni porojo.
Walimkaushia sio.Yanga wana ujinga sana, kama mtu hakutaki ya nini? Ona Simba ilivyomkaushia mzungu Dejan
Naona hata wewe ulokua unalitetea hili jambo lishaanza kukuchanganya sasaNdio maana nimekupa reasons ambazo probably ndio kikwazo kwa wao kufika hatua hiyo
Hiyo ni kuweka kumbukumbu sawa tu kwa vile Dejan aliandika kwenye mtandao. Walichukua hatua gani? Hiyo ni kwa kheri ya diplomasiaWalimkaushia sio.View attachment 2539322
Reason ni moja tu, Faisal alichemka na ndiyomaana mawakili wake wanaogopa kwenda CAS wanajua wataangukia pua kwa mara ya 3.Ndio maana nimekupa reasons ambazo probably ndio kikwazo kwa wao kufika hatua hiyo