Feisal Salum(Feitoto) kuendelea kuichezea Yanga

Ana wakala wake na watu wake wa karibu nadhani walipitia walikua na nafasi pia ya kusema kitu flani kiongezwe au kipunguzwe kwenye mkataba na wakaona unawafaa na akasaini sasa ushasaini alafu badae ndo uje useme wametumia udhaifu wako.

Na nafikiri pia ni watu hao hao wa Karibu na Feisal watakua walisoma Mkataba na kujiridhisha kuwa Feisal anaweza kuuvunja. CAS inahusika hapo
 

Hata mimi siamini kama washauri wa Feisal hawakuusoma mkataba na kuona loophole. Vinginevyo kama wamemshauri vibaya kijana watakua hawajamtendea haki.
Tukiangalia kwa uwezo wa Feisal, analipwa kiduchu sana.
 
Kwaio buy-out clause ya Feitoto ni milion 112??
Mzee iliyotumika ni Release clause sio buy out clause, Fei toto amelipa pesa ya kuvunja mkataba na sio kununua mkataba wake uliobaki na Yanga. Kwenye release clause hakuna maongezi zaidi yatahitajika maana Fei toto ni mchezaji huru kwa sasa.
 
Hakuna mtu alimlazimisha kusaini mil 4 yeye mwenyewe alisaini.
Watanzania tujifunze ku bargain sio kuja kulalamika mchango wangu mkubwa.
Na kuvunja mkataba ye mwenyewe kaamua kuvunja au mkataba hauvunjiki?
 
Football ni biashara ila kilichofanyika kwa Fei kimefanyika kienyeji Sana
kabisa
ila sikubaliani na wale wanaochukia Feisal kuondoka kikubwa utaratibu ufuatwe
Mpira ni maisha hata kama ningekuwa mm ningeangalia mustakabali wa maisha yangu ya baadae hivyo Fei hana baya kuondoka
 
Mind games kuelekea derbý yetu ya Dar es Saalam
 
Hahahahahahha we jamaa ndo bure kabisaa!!!sasa mtu hawataki atachezaje??MKIACHWA KUBALINI KUACHIKA,mbona simba waliachwa na mzungu wakakubali tuu kubalini hela hamnaaaaaaa[emoji26][emoji26][emoji26]
nafikiri alichokisema mtoa post ni njia sahihi kufuatwa wewe unaleta uzaramo kwenye mambo ya kutumia akili
 
Sema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.

Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Sasa ndugu yangu.....hapo muhuni ni nani......anayenunua mkataba wake na kufuata malisho mema au anayezuia tu kununua mkataba wake Kwa vipengele walivyokubaliana......???

Kitu ninachokiona kwa Yanga ni mshituko kwa kuwa hili hawakulitarajia hasa kwa kipindi hichi.......lakini nakala zipo na vifungu vipo wazi...labda labda kama viongozi wa Yanga mkataba walionao ni tofauti na ule waliomsainisha.......
 
Kwahiyo mkuu wewe na akili zako unamtumia manara kama reference yako?

Manara anacheo gani pale Yanga mpaka aongelee mikataba ya wachezaji?
Nadhani unajadili Jambo la heshima na Mtu asiyejiheshimu. Ukiachana naye itakuwa heri.
 
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga
Hadi mtu anabet mkeka, tayari huwa haoni shida ikitokea ameliwa. Vile vile, kiapo chako kinaonyesha kuwa huoni shida kuwa shoga ikitokea Fei Toto amehamia Azam. Kila la heri katika style mpya ya maisha

 
Sema walichokifanya Azam ni uhuni kama ule wa kaka yao simba kwa Bernard Morrison. Nadhani ifikie wakati Yanga nao wajitenge na makosa yanayo jirudia.

Kwa nini wanatengeneza mianya kwenye mikataba wanayoingia na wachezaji wao?
Nendeni CAS kama kawaida yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…