Hapana mkuu, iweje Bernard, Mayele, Aziz Ki wachukue zaidi ya 15M halafu kwa fei Mil4 muione kubwa?Kuna watu ukiwasikiliza utadhani wanalipwa mil 10 kwa mwezi kumbe laki 5 lakini wanachonga sana kwenye ishu ya Feisal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, iweje Bernard, Mayele, Aziz Ki wachukue zaidi ya 15M halafu kwa fei Mil4 muione kubwa?Kuna watu ukiwasikiliza utadhani wanalipwa mil 10 kwa mwezi kumbe laki 5 lakini wanachonga sana kwenye ishu ya Feisal
Huo ni ujinga wako kweni ulipewa mkataba hukuona ?Hapana mkuu, iweje Bernard, Mayele, Aziz Ki wachukue zaidi ya 15M halafu kwa fei Mil4 muione kubwa?
Kabisa, watu wengi hawajui sheria na taratibu za soka. Wananyofoa kipengere kimoja tu wanashupaa nacho wee na ushabiki maandaziKwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia..
Kitu pekee ambacho kitamruhusu Feitoto kucheza Azam ni pale tu uongozi wa Azam utakapokubaliana na uongozi wa Yanga.
Vinginevyo haitatokea mchezaji huyo kucheza timu tofauti na Yanga hadi pale mkataba wake na Yanga utakapoisha tarehe 30 June 2024
Feitoto akicheza Azam niitwe shoga na mke wangu achukuliwe akaliwe na popoma, pia nipigwe life ban humu JF.
Mi nafikiri wakati fei anasaini mkataba wa kulipwa 4M alikuwa anastahili hiyo pesa, Ila kwa sasa anaona kiwango kinazidi pesa ndiomaana akachukua jukumu la kuvunja mkataba kwa vipengele vya mkatabaHuo ni ujinga wako kweni ulipewa mkataba hukuona ?
Kwanini hayo unayohoji hukuhoji kwenye majadiliano? Mbona ulisaini mkataba sasa saivi kelele za nini?
Tuwafundishw wachezaji wetu namna ya kujadiliana kwenye mikataba na kujumuisha mahitaji yetu yote sio kwenye mkataba uko kimya ukija nje unaanza kelele unazani unaonewa.
haya maswala ya kuzidiana mshahara yapo kwenye kila timu hata Nelson Okwa anayekaa bench anamzidi mshahara Mzamiru Yasin.
Mkuu madhara ya usimba na uyanga ndio yanapofusha.. Yaani nyeupe mtu anasema nyeusiKabisa, watu wengi hawajui sheria na taratibu za soka. Wananyofoa kipengere kimoja tu wanashupaa nacho wee na ushabiki maandazi