Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Mwishoni watampata akiwa amezeeka. Kama ilivyokuwa kwetu Yanga. Chama tulimsajili sana akachezea Simba leo hii siku zake za hedhi zimekata yupo kwetuFeisal ni mchezaji pekee kwa Sasa kila dirisha la usajili anasajiliwa na makolo ila baada ya usajili Kisha anacheza Azam.