Tetesi: Feisal Salum mbioni kujiunga na Simba

Feisal ni mchezaji pekee kwa Sasa kila dirisha la usajili anasajiliwa na makolo ila baada ya usajili Kisha anacheza Azam.
Mwishoni watampata akiwa amezeeka. Kama ilivyokuwa kwetu Yanga. Chama tulimsajili sana akachezea Simba leo hii siku zake za hedhi zimekata yupo kwetu
 
Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka kumjumuisha kwenye kikosi chake dirisha hili la
usajili la Januari.

Wekundu hao wa msimbazi wako tayari kutoa ofa ya dola
za Kimarekani 230,000 ili kuhakikisha wanampata nyota huyo.

Maamuzi sasa yapo mikononi mwa Azam FC na Feisal mwenyewe kuhusu hatima ya uhamisho huu wa hadhi ya juu.
Simba Mna One Billion Y Yanga Mana Kuna Kipengele Kama Azam Watamuuza Kwenda Timu Yyt Ndani Y Miaka Mitatu Yanga Ipewe Hy Hela
 
Mumkumbushe kocha wetu kuna wachezaji wengine pia mpaka sasa bado hawajaletwa klabuni! Mfano Caesar Manzoki, na Adebayor.
 
Simba Mna One Billion Y Yanga Mana Kuna Kipengele Kama Azam Watamuuza Kwenda Timu Yyt Ndani Y Miaka Mitatu Yanga Ipewe Hy Hela
Mkuu hichi kipengele ni rasmi? Namaanisha umemsikia kiongozi rasmi akisema hili au umeona mkataba?
 
Back
Top Bottom