Feisal salum team ya taifa ni useless. Tutafute mchezaji mwingine

Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.

Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Nami nilishangaa, naamini ile ilikuwa nafasi ya kujiuza huko Duniani lakini alikuwa hopeless. Ni mchezaji mzuri anatakiwa akiwashe timu ya Taifa aonekane huko.
 
Una hata Certificate Level ya Ukocha?Mijitu mingine bhana. Na Wewe usipokuwa mwana Yanga SC 'Naukweka' Ikulu.
 
Nyuma mwiko... 😀 😀
 
Una hata Certificate Level ya Ukocha?Mijitu mingine bhana. Na Wewe usipokuwa mwana Yanga SC 'Naukweka' Ikulu.
mpira uko wazi, dogo ni mzigo pale stars, anatuludisha nyuma, makocha wamteme tu. stars aina simba wala yanga.

Feisal tungempigia debe mbele sema kiwango chake cha mashaka sana.
in short sio level hiyo.
 
Ushindi tuliopata dhidi ya Zambia ulikuwa wa bahati bahati tu; ilikuwa tupigwe chuma mbili safi ila tukawa na bahati ya mtende
kabisa. Feisal alikuwa kama anacheza against stars. stars walikuwa 10 uwanjani. Feisal atemwe waje watu wa maana dogo hana kiwango,

in short dogo stars wamteme until kiwango kipande
 
Nami nilishangaa, naamini ile ilikuwa nafasi ya kujiuza huko Duniani lakini alikuwa hopeless. Ni mchezaji mzuri anatakiwa akiwashe timu ya Taifa aonekane huko.
mimi na watu wa SA nawajua,ukiipitisha jina la mchezaji kwao, wana boast kwenye social media, simu zina ita, sema awe kweli na kiwango sio vibes kama Feisal. when he is needed, apatikani. number 10 akae mudathir Yahya. Feisal atemwe tu.
 
Kwa uswahili huu, ni bora Samatta alikaa pembeni.

Kuwatumikia watu wachawi na wanafiki ni kazi sana
huu ni ukweli, sio unafiki, Feisal timu ya Taifa bora balua. ni useless player
amna unafiki hapa.

dogo ajui, ndo maana atumpi support. maana kiwango chake ni vibe tu.
 
Feisal kucheza chini ya kiwango sio sababu ya yeye kutoitwa stars mbona Mzize mbali ya kukimbia na kupata Kadi za njano za kujitakia namsemwi aachwe.
Kocha alitakiwa amwambie Feisal apunguze madoido na Hilo tatizo alikuwa nalo Abdul Soap alikuwa anampenda Sana kukaa na mpira.
 
K
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.

Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Nitajie mchezaji Gani alicheza vizur Jana kwa upande wa taifa Stars ukiacha golikipa.
 
Back
Top Bottom