Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #41
lini amewai kuwa na game nzuri team ya taifa?? Hata mechi moja??. vision hana. kukaba awezi. mbio hana.Ni kweli Feisal juzi hakuwa na kiwango kizuri, lakini si sahihi kusema mchango wake ni "useless". Feisal siyo kiungo mkabaji, kitendo cha kocha kumtoa Mudathir na kumbakiza Himid Mao ambaye alishapata majeraha mwanzo ilimfanya Feisal afanye kazi ya kiungo mkabaji ambayo haiwezi Hadi alipoingia Mtasingwa.
he offers nothing.
such a weak player