Feisal salum team ya taifa ni useless. Tutafute mchezaji mwingine

Feisal salum team ya taifa ni useless. Tutafute mchezaji mwingine

Lawama za bure tu Stars yenyewe imebaki jina
 
Kama hutaki Fei aitwe,je nafasi yake au namba yake acheze nani?

Mpira hujui na kuambiaga kafuatilie marede.Mechi moja tu ushamtoa kasoro.
 
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.

Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Ni chuki tu zinakusumbuwa
 
Kama hutaki Fei aitwe,je nafasi yake au namba yake acheze nani?

Mpira hujui na kuambiaga kafuatilie marede.Mechi moja tu ushamtoa kasoro.
ukiona umeandika tumemvumilia sana. kiwango dogo hana. we shouldnt hide the truth
 
kabisa. Feisal alikuwa kama anacheza against stars. stars walikuwa 10 uwanjani. Feisal atemwe waje watu wa maana dogo hana kiwango,

in short dogo stars wamteme until kiwango kipande
Ni kweli feisal hana impact kwenye ngazi ya kimataifa na sio staz tu hata akiwa yanga na azam hajawahi kufanya cha maana linapokuja suala la mashindano ya kimataifa lakini kwa game ya jana taifa starz ilielewa.. kidogo mabeki walijitahidi kukaza ila kuanzia kwenye midfielder kwenda hakuna kitu
 
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.

Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Huwa sioni afanyacho stars
 
Sasa sisi tutajuaje kama hukupigwa hizo chuma mbili?
Swali la kipumbavu litokalo kichwani mwa mtu ambao hupigwa bomba kila mara kiasi kuwa akili zao hazifanyi kazi tena bali wanafikiria bomba tu. Hatuwezi kuwazuia wapigwa bomba kama wewe kuandika kwenye keyboard zenu.

Hata hivyo tukiacha upumbavu wako huo, utakuwa ulaiona kuwa lango la Tanzania lilishambuliwa mara nyingi sana na washambuliaji wa Zamabioa walibakia na kipa pekee mara mbili.
 
mpira uko wazi, dogo ni mzigo pale stars, anatuludisha nyuma, makocha wamteme tu. stars aina simba wala yanga.

Feisal tungempigia debe mbele sema kiwango chake cha mashaka sana.
in short sio level hiyo.
Ni kweli Feisal juzi hakuwa na kiwango kizuri, lakini si sahihi kusema mchango wake ni "useless". Feisal siyo kiungo mkabaji, kitendo cha kocha kumtoa Mudathir na kumbakiza Himid Mao ambaye alishapata majeraha mwanzo ilimfanya Feisal afanye kazi ya kiungo mkabaji ambayo haiwezi Hadi alipoingia Mtasingwa.
 
Tofauti na Feisal namba 10 mwingine wa kiswahili wakuchukua nafasi yake ni nani
 
Feisal kucheza chini ya kiwango sio sababu ya yeye kutoitwa stars mbona Mzize mbali ya kukimbia na kupata Kadi za njano za kujitakia namsemwi aachwe.
Kocha alitakiwa amwambie Feisal apunguze madoido na Hilo tatizo alikuwa nalo Abdul Soap alikuwa anampenda Sana kukaa na mpira.
Bora Mzize alikuwa anakaba, huyo Feisal alikuwa anafanya nini sasa. Hopless kabisa, aliikaba timu.
 
Back
Top Bottom