Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Nami nilishangaa, naamini ile ilikuwa nafasi ya kujiuza huko Duniani lakini alikuwa hopeless. Ni mchezaji mzuri anatakiwa akiwashe timu ya Taifa aonekane huko.Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Una hata Certificate Level ya Ukocha?Mijitu mingine bhana. Na Wewe usipokuwa mwana Yanga SC 'Naukweka' Ikulu.Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
Nyuma mwiko... 😀 😀Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
mpira uko wazi, dogo ni mzigo pale stars, anatuludisha nyuma, makocha wamteme tu. stars aina simba wala yanga.Una hata Certificate Level ya Ukocha?Mijitu mingine bhana. Na Wewe usipokuwa mwana Yanga SC 'Naukweka' Ikulu.
kabisa. Feisal alikuwa kama anacheza against stars. stars walikuwa 10 uwanjani. Feisal atemwe waje watu wa maana dogo hana kiwango,Ushindi tuliopata dhidi ya Zambia ulikuwa wa bahati bahati tu; ilikuwa tupigwe chuma mbili safi ila tukawa na bahati ya mtende
wamteme, anajaza nafasi za, watu wenye uwezo mkubwaAnakisirani na wachezaji wenzake wa Yanga ..hayupo ki team aachwe
Mbona Job aliachwa
mimi na watu wa SA nawajua,ukiipitisha jina la mchezaji kwao, wana boast kwenye social media, simu zina ita, sema awe kweli na kiwango sio vibes kama Feisal. when he is needed, apatikani. number 10 akae mudathir Yahya. Feisal atemwe tu.Nami nilishangaa, naamini ile ilikuwa nafasi ya kujiuza huko Duniani lakini alikuwa hopeless. Ni mchezaji mzuri anatakiwa akiwashe timu ya Taifa aonekane huko.
huu ni ukweli, sio unafiki, Feisal timu ya Taifa bora balua. ni useless playerKwa uswahili huu, ni bora Samatta alikaa pembeni.
Kuwatumikia watu wachawi na wanafiki ni kazi sana
Nitajie mchezaji Gani alicheza vizur Jana kwa upande wa taifa Stars ukiacha golikipa.Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.