Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
-
- #41
lini amewai kuwa na game nzuri team ya taifa?? Hata mechi moja??. vision hana. kukaba awezi. mbio hana.Ni kweli Feisal juzi hakuwa na kiwango kizuri, lakini si sahihi kusema mchango wake ni "useless". Feisal siyo kiungo mkabaji, kitendo cha kocha kumtoa Mudathir na kumbakiza Himid Mao ambaye alishapata majeraha mwanzo ilimfanya Feisal afanye kazi ya kiungo mkabaji ambayo haiwezi Hadi alipoingia Mtasingwa.
tutafute mwingine. dogo akae nje.Tofauti na Feisal namba 10 mwingine wa kiswahili wakuchukua nafasi yake ni nani
Kocha muunguja atamwachaje Poti wake?Hii timu yetu isingekuwa inaendeshwa kishwahili swahili huyo Feisal Toto asingejumuishwa kabisa kwenye squad ya timu ya taifa kwa muda usiojulikana
Bila shaka utakuwa uliangalia mpira kupitia redio sikulaumu.Mudathir
Na ukiona ktk mechi kipa ndio anaonekana mchezaji Bora kuliko wengine basi ujue timu nzima ilikuwa mbovu.Kipa
Atafutwe mwingine nani sasa wa kumuweka benchi Feisal 🤔 najua wengi mnataka acheze timu ya taifa kama anavyo cheza Azam lakini mnapaswa kujua hizi ni timu ambazo zina mfumo tofauti kabisa wa kumtumia, akiwa Azam timu imejengwa kumpa nafasi ya kufanya chochote anachopenda uwanjani tofauti kabisa na starstutafute mwingine. dogo akae nje.
Sikuwahi kulijua hili...!!Kocha muunguja atamwachaje Poti wake?
Na ukiona ktk mechi kipa ndio anaonekana mchezaji Bora kuliko wengine basi ujue timu nzima ilikuwa mbovu.
sio azam tu. kitambo since yanga days , huyu dogo Feisal toka ameanza kucheza team ya taifa ametusaidia nini?? maana kukaba awezi, assist awezi, pasi awezi, physic hana, speed hana, kiwango ni below standard, balua is a better player. kujitoa awezi.Atafutwe mwingine nani sasa wa kumuweka benchi Feisal 🤔 najua wengi mnataka acheze timu ya taifa kama anavyo cheza Azam lakini mnapaswa kujua hizi ni timu ambazo zina mfumo tofauti kabisa wa kumtumia, akiwa Azam timu imejengwa kumpa nafasi ya kufanya chochote anachopenda uwanjani tofauti kabisa na stars