Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!