Feisal Salum unajisikiaje kwa sasa?

Feisal Salum unajisikiaje kwa sasa?

Hamna majungu wala ukweli mtupu ameandika, yaani aondoke eng arudi yeye shubamit
imagine mtoto mdogo tena mzanzibar, amejaa sifa anajiona yeye ndio bora yanga harudi bila rais kuondoka, kweli? na hapohapo kuna allegation kwamba alitanguliziwa mpunga mrefu yeye akaula wote akawa hana na kazi inadai. akacheze jang'ombe huko au kizmkazi.
 
Mkuu ukiendlea na majungu kama haya muda sii mrefu utaleft group.

Pili, kama mwanaume lazima ujitambue.. mpira ni kazi, sio ushabiki. Feisal anafamiliq inayomtegemea. Lazima aitafute pesa bila kujali umaarufu au makombe.

Mtu kama Mwamnyeto au wachezaJi wengine wazawa pale Yanga wanaweza kushinda mataji meeengii sana, ila Feisal akawa akawa tajiri kuliko wao!
 
shida ni kwamba alilelewa vibaya, ati anakuja kusema harudi yanga kama rais hajaondoka, alitaka kujifanya yeye ni wa muhimu saaana yanga asiporudi yanga kwishney? akalambe icecream huko.
Kwani una tatizo naye? Utamudu kujibizana na kila mtu anayetoa mtazamo tofauti na wako mkuu?

Mambo mengine unayaacha yanapita, katika mpira ni kama siasa, utashangaa miaka ijayo wewe ukashangilia urejeo wa huyo Feisal Salum " Feitoto" huko Yanga.

Jifunze kuacha yapite na yaishe.
 
Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.

Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.

Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.

Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.

Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.

Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.

Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.

Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.

Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
huyo tumwache sasa
 
Taarabu modern jazz band

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha nongwa na u-move on,

Kwani hapo Yanga angecheza milele? Hao waliocheza miaka yote Hadi wakastaafu hapo Yanga wamepata Nini kikubwa
 
Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.

Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.

Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.

Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.

Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.

Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.

Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.

Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.

Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Fei ana furaha na amani huko alipo kuliko alivyokuwa Yanga. Hayo mengine ni majungu na matamanio yako tu.
 
anacheki tu kwenye luninga, mbona sasa mama hamsaidii, wazanzibar wanavyosaidiana hadi kwenye mambo ya ajabu kama haya, ati rais anaingilia jamob la uyu faizattoto kwasababu tu ni mzenji, si ajabu hii? anaisoma namba tu. jeuri na kibri wakati bado saana mpira hajui.
Kwahiyo mlimtupia kama Mayele?
 
shida ni kwamba alilelewa vibaya, ati anakuja kusema harudi yanga kama rais hajaondoka, alitaka kujifanya yeye ni wa muhimu saaana yanga asiporudi yanga kwishney? akalambe icecream huko.
Fai hawezi kusajiliwa timu za nje kwasababu ya tibia aliyoionyesha kwenye timu ya Yanga, Yeye angekuwa mvumilivu sasa hivi angekuwa ana cheza Far Rabat ya Nabj, lakini kwa tabia yake hakuna timu makini Itakayo mfata kumsajili Timu za wenzetu wana angalia Nidhamu ndani ya uwanja na nje ya uwanja.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Shehe kwahiyo mlitaka fei aendeleee kukunya 3.2m na bado madalali wa timu wanataka kula hapo hapo sindio ?
 
Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.

Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.

Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.

Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.

Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.

Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.

Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.

Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.

Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Halafu Eng Hersi genius wala hakuhangaika kujibizana nae. Ndo ajue umuhimu wa shule na exposure.
 
Fai hawezi kusajiliwa timu za nje kwasababu ya tibia aliyoionyesha kwenye timu ya Yanga, Yeye angekuwa mvumilivu sasa hivi angekuwa ana cheza Far Rabat ya Nabj, lakini kwa tabia yake hakuna timu makini Itakayo mfata kumsajili Timu za wenzetu wana angalia Nidhamu ndani ya uwanja na nje ya uwanja.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
nani amchukue kijana mwenye tabia mbaya anayetetewa hadi na rais wa nchi? kwa sasa hata wachezaji wa zanzibar tu watu watakuwa wanawaangalia kwa jicho lingine, wanajua wanaye mtetezi mwenye rungu la dola. wanini hao?
 
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo.
Mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga?

Huyo dogo analipwa mkwanja mrefu huko aliko, hilo la kurudi kwenye kula ugali na sukari ulimnukuu vibaya.

Tafuta hela acha majungu.
 
Angebaki afurahie kuingia robo fainali huku kipato chake binafsi kikiwa hafifu/duni?.
 
Mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga?

Huyo dogo analipwa mkwanja mrefu huko aliko, hilo la kurudi kwenye kula ugali na sukari ulimnukuu vibaya.

Tafuta hela acha majungu.
Oooh!! Naona mliomshauri na nyie mnateseka sana
 
Fei ana furaha na amani huko alipo kuliko alivyokuwa Yanga. Hayo mengine ni majungu na matamanio yako tu.
Labda hiyo furaha ya makaratasi. Dogo anajisikia Aibu sana tena sana
 
Back
Top Bottom