- Thread starter
- #41
Acha nongwa na u-move on,
Kwani hapo Yanga angecheza milele? Hao waliocheza miaka yote Hadi wakastaafu hapo Yanga wamepata Nini kikubwa
Ajue tu kuwa laana huwa haitoki kwa waliokuzaa tu. Na Maadamu Mama yake alisema mwanae analishwa ugali kwa sukari hakika muda utafika katika maisha yake atakutana na hayo aliyotamkiwa na Mama yake.
Rai yangu atafute muda kimyakimya amtafute Engr Heris na Mzee Ghulam awaombe msamaha kwa maneno ya dhihaka aliyowatolea. Aombe msamaha kwa niaba yake mwenyewe na kwa niaba ya Mama yake pamoja na nyie mliompotosha na kutengeneza fitina ili tu kuikomoa Yanga.