Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
imagine mtoto mdogo tena mzanzibar, amejaa sifa anajiona yeye ndio bora yanga harudi bila rais kuondoka, kweli? na hapohapo kuna allegation kwamba alitanguliziwa mpunga mrefu yeye akaula wote akawa hana na kazi inadai. akacheze jang'ombe huko au kizmkazi.Hamna majungu wala ukweli mtupu ameandika, yaani aondoke eng arudi yeye shubamit
Kwani una tatizo naye? Utamudu kujibizana na kila mtu anayetoa mtazamo tofauti na wako mkuu?shida ni kwamba alilelewa vibaya, ati anakuja kusema harudi yanga kama rais hajaondoka, alitaka kujifanya yeye ni wa muhimu saaana yanga asiporudi yanga kwishney? akalambe icecream huko.
VizuriHamna majungu wala ukweli mtupu ameandika, yaani aondoke eng arudi yeye shubamit
huyo tumwache sasaPale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Taarabu modern jazz bandPale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Acha nongwa na u-move on,Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Mentality za kimaskiniMvumilivu hula mbivu mzee. Kama ipo ni ipo tu.
Fei ana furaha na amani huko alipo kuliko alivyokuwa Yanga. Hayo mengine ni majungu na matamanio yako tu.Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Kwahiyo mlimtupia kama Mayele?anacheki tu kwenye luninga, mbona sasa mama hamsaidii, wazanzibar wanavyosaidiana hadi kwenye mambo ya ajabu kama haya, ati rais anaingilia jamob la uyu faizattoto kwasababu tu ni mzenji, si ajabu hii? anaisoma namba tu. jeuri na kibri wakati bado saana mpira hajui.
Fai hawezi kusajiliwa timu za nje kwasababu ya tibia aliyoionyesha kwenye timu ya Yanga, Yeye angekuwa mvumilivu sasa hivi angekuwa ana cheza Far Rabat ya Nabj, lakini kwa tabia yake hakuna timu makini Itakayo mfata kumsajili Timu za wenzetu wana angalia Nidhamu ndani ya uwanja na nje ya uwanja.shida ni kwamba alilelewa vibaya, ati anakuja kusema harudi yanga kama rais hajaondoka, alitaka kujifanya yeye ni wa muhimu saaana yanga asiporudi yanga kwishney? akalambe icecream huko.
Shehe kwahiyo mlitaka fei aendeleee kukunya 3.2m na bado madalali wa timu wanataka kula hapo hapo sindio ?Fai hawezi kusajiliwa timu za nje kwasababu ya tibia aliyoionyesha kwenye timu ya Yanga, Yeye angekuwa mvumilivu sasa hivi angekuwa ana cheza Far Rabat ya Nabj, lakini kwa tabia yake hakuna timu makini Itakayo mfata kumsajili Timu za wenzetu wana angalia Nidhamu ndani ya uwanja na nje ya uwanja.
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
Halafu Eng Hersi genius wala hakuhangaika kujibizana nae. Ndo ajue umuhimu wa shule na exposure.Pale unapoondoka kwa kiburi, jeuri na nyodo na hata kuwatolea maneno ya jeuri viongozi wa timu.
Nikaona hadi familia yako ikaingilia kati.
Nikaona hadi mamlaka kuu zikakusimamia na kukubeba.
Ogopa mtu mzima uliyemkosea na akakuambia HEWALA WEWE NDIO MKUBWA.
Binafsi ninaamini wewe haukuwa na Baraka kwenye klabu ya Yanga maana ulivyoondoka tu NDIPO MWENYEZI MUNGU AKASHUSHA NEEMA YA MAFANIKIO NA TIMU KUFANYA VEMA ZAIDI KIMATAIFA.
Anyway huenda na wewe huko Azam umewapelekea Baraka za mafanikio ya ligi ya ndani na kimataifa.
Halafu mimi niliamini wewe ni mchezaji mkubwa lakini ulivyoondoka ndipo nikajua kumbe hata Ihefu unafiti.
Nakumbuka jinsi wanahabari walivyokutumia ukawa unaropoka live. Hivi wale jamaa huwa wanakupigia hata simu kukusalimia kweli.
Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo. Hivi ulimaanisha tumtoe Engr Hersi halafu wewe urudi KUTUFIKISHA HII HATUA YA ROBO FAINALI ya Caf tuliuopo sasa!!!!!
Huwa unacomment kifupi sana inshort huna mambo mengiDuh aiseee
nani amchukue kijana mwenye tabia mbaya anayetetewa hadi na rais wa nchi? kwa sasa hata wachezaji wa zanzibar tu watu watakuwa wanawaangalia kwa jicho lingine, wanajua wanaye mtetezi mwenye rungu la dola. wanini hao?Fai hawezi kusajiliwa timu za nje kwasababu ya tibia aliyoionyesha kwenye timu ya Yanga, Yeye angekuwa mvumilivu sasa hivi angekuwa ana cheza Far Rabat ya Nabj, lakini kwa tabia yake hakuna timu makini Itakayo mfata kumsajili Timu za wenzetu wana angalia Nidhamu ndani ya uwanja na nje ya uwanja.
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
Mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga?Halafu ulinifurahisha pale uliposema Engr Hersi Saidi akiondoka wewe unarudi Yanga siku hiyohiyo.
Oooh!! Naona mliomshauri na nyie mnateseka sanaMbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga?
Huyo dogo analipwa mkwanja mrefu huko aliko, hilo la kurudi kwenye kula ugali na sukari ulimnukuu vibaya.
Tafuta hela acha majungu.
Labda hiyo furaha ya makaratasi. Dogo anajisikia Aibu sana tena sanaFei ana furaha na amani huko alipo kuliko alivyokuwa Yanga. Hayo mengine ni majungu na matamanio yako tu.