Feisal Salumu Jitokeze mbele ya media utoe tamko la kusitisha michango uliyowaomba watanzania wakuchangie kwani suala lako limekwisha

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
NALIA NGWENA nashangaa mpaka Sasa upo kilmya tu inamaana unafurahi kuona muamala wa watanzania unavyosoma.

Media zipo kimya hakuna tamko kutoka kwako suala la kwenda CAS halipo Tena.

Kupitia Mtandao huu wa Jamii Forums niwaombe watu wa karibu mumfikishie taarifa Feisal Salumu haraka iwezekanavyo asitishe michango kwani kwa kuendelea kufanya hivyo ni wizi /kufanya uongo wa wazi kwa watanzania.

Nawasilisha hoja.
 
Wewe ndo unaona yupo kimya. Wakili wake na Wakala wake walisema watafanya makubaliano na waliotoa michango kuwa ipelekwe kuchangia Msikiti au kanisa
Kwa hiyo wanaendelea kumchangia yeye au msikiti??

Kwa hiyo bado hawajastisha?? Wanaendelea kupokea.
 
Tuendelee kuchanga. Haijaisha mpaka iishe. Jaji kule CAS kashapatikana.....
 
Wewe ndo unaona yupo kimya. Wakili wake na Wakala wake walisema watafanya makubaliano na waliotoa michango kuwa ipelekwe kuchangia Msikiti au kanisa
Swala lake limeisha vipi mkuu
 
Aendelee kupokea hela kwani we ulichangia nini bhn.
 
NALIA NGWENA nashangaa mpaka Sasa upo kilmya tu inamaana unafurahi kuona muamala wa watanzania unavyosoma.

Media zipo kimya hakuna tamko kutoka kwako suala la kwenda CAS halipo Tena.

Kupitia Mtandao huu wa Jamii Forums niwaombe watu wa karibu mumfikishie taarifa Feisal Salumu haraka iwezekanavyo asitishe michango kwani kwa kuendelea kufanya hivyo ni wizi /kufanya uongo wa wazi kwa watanzania.

Nawasilisha hoja.
KUNA WATU WANTAMANI WARUDISHIWE HELA AO MANA WAMESHOBOKEA MAMBO WEEEE,MWISHO WA SIKU MCHEZAJI KACHAGUA KUKANDA NGANO🙄
 
Kafunguka huko [emoji16]
Screenshot_20230608-131805.jpg
 
Back
Top Bottom