Feisal Toto anarudi akilia na kubembeleza. Labda ameisahau Yanga


Hahaha gademu pesa .U know!
 
Fei toto mim nakushauri ondoka katafute maisha soka ni lamuda mfupi sana, hakuna aliestaafu kuichezea Yanga akawa na maisha mazuri utaishia kuwa mganga wa kienyeji.
 
[emoji2][emoji2][emoji2] eti unanijua mm, hata Yanga watakuwa wamemsahau.
 
Daah kwahiyo mtu kutafuta masilahi sehemu nyingine ni kosa kwa yanga au mimi ndo nimekosea kuelewa
 
Kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu [emoji445][emoji445][emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…