rashidmussa60
Member
- Jul 7, 2013
- 9
- 12
Bado tu mna mawazo ya kijinga Feisal yanga sio Mama yake wala Baba yake. Muacheni aamue hatma ya maisha yake!! Ngasa hadi leo anachekwa, kwa kukataa ofa nono Sudan ili aichezee yanga! Leo hii hata pesa ya kuingia uwanjani acheki mechi za yanga hana. Akitaka kuingia kwa kutumia jina na mapenzi yake kwa yanga, mabaunsa wanamzuia!! Hadi huruma! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti mimi hunijui wewe?! Jamani, wewe humjui Ngasa kweli?! Watu wanataka gademu money hayo mapenzi peleka Tanga!!
"Kama Mwanamke hakutaki, muache usimbake"
Afande Sele!
Hahaha gademu pesa .U know!