Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wekeni Kumbukumbu huu uzi. Feisal Toto sijajua nani anamdanganya. Ila nadhani amesahau. Ameisahau Yanga. Yanga siyo kama Simba wale mabwege.
Huyu Fei Toto namwona hapa akija Yanga analia akiomba asamehewe. Tena anaomba acheze kwa mshahara wowote ambao Yanga watapenda kumpa atakubali kwa moyo wote.
Yanga haichezewi. Amuulize Benny Morrison alifanywa nini alivyotutoa akili. Akumbuke lile busha tulimshusha. Na sasa hivi anaichezea Yanga ( Ingawa tunajua kuna mtu anapata asilimia zake pale kwa Bernard Morrison. Tunaponyamaza msidhani sisi ni Mabwege kama Simba.
Ni vile tu sisi wengine katika team hizi ndo wasomi hatupendi propaganda na kuchanganyana. Feisal hatofanikiwa huko aendako. Na akirudi atakuwa mtupu sana. Atarudi kuomba msamaha kwa wazazi wake sisi.
Nyie endeleeni tu kumdanganya. Tumemtoa gizani huyu dogo. Tumemtengeneza. Na anadhani kile ni kipaji chake anasahau ambavyo huwa tunamwogesha kila mara anapofubaa.