Feisal umekubali nguvu ya Simba na Yanga

Feisal umekubali nguvu ya Simba na Yanga

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hapa Tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani. Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni Simba na Yanga, ila hizo hizo zinaweza kukuweka gizani.

Feisal kwa sasa kama hakuna anayemfatilia ukilinganisha kipindi yupo Yanga na dili za matangazo. Kuna msemo usemwao; "Kila penye mafanikio washauri wa kila aina wanaongezeka."

Ili linaweza kuwa ndio lililomtoa kwenye njia. Tanzania sio Uingereza sababu kwenye vilabu vilivyo na nguvu hapa ni viwili tu.

Ukitoka hapo hakuna atakayekusikia wala kuwa na muda na wewe upande wa mashabiki mpaka madili ya maana.

Ugali kwa sukari.
 
Wachezaji wa Mpira wanazunguka tu leo Simba kesho Azam na keshokutwa anarudi Yanga tena ukilijua hili wala haupati tabu huyu Salum anaezungumziwa hivi baadae utasikia Yanga wanamtangaza karudi nyumbani.

Walioanza kuangalia mipira ya kina Hamis Gagalino watanielewa mazengwe S/Y hayajaanza jana wala juzi yapo toka kitambo.
 
Hapa tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani.

Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni simba na yanga.
Ila hizo hizo zinaweza kukuweka gizani ni simba na yanga.

Feisal kwa Sasa kama hakuna anayemfatilia ukilinganisha kipindi yupo yanga na Dili za matangazo.

Kuna msemo usemwao
"Kila penye mafanikio washauri wakila aina wanaongezeka"

Ili linaweza ndio lilomtoa kwenye njia.
Tanzania sio wingereza sababu kwenye vilabu vilivo na nguvu hapa ni viwili tu.

Ukitoka hapo hakuna atakaye kusikia Wala kuwa na mda na wewe upande wa mashabiki mpaka madili ya maana.

Ugali kwa sukari
Yaani mtu aache 16 million per month akubali million 4 ya utopolo kwasababu ya matangazo ambayo wachezaji wanapata 20% nyingine zote wanakula wajanja wa mjini.
 
Wachezaji wa Mpira wanazunguka tu leo Simba kesho Azam na keshokutwa anarudi Yanga tena ukilijua hili wala haupati tabu huyu Salum anaezungumziwa hivi baadae utasikia Yanga wanamtangaza karudi nyumbani.

Walioanza kuangalia mipira ya kina Hamis Gagalino watanielewa mazengwe S/Y hayajaanza jana wala juzi yapo toka kitambo.
Tulioangalia mipira tangu enzi hizo, enzi za akina Gibson Sembuli tupo mkuu, wala usipate shida.
Kwa Simba, Edward Chumila alikua chama Chama lakini akaenda kuchezea Yanga. Bado sijamuongelea Zamoyoni Mogella.

Steven Nemes akadakia Simba
 
Back
Top Bottom