Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hapa Tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani. Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni Simba na Yanga, ila hizo hizo zinaweza kukuweka gizani.
Feisal kwa sasa kama hakuna anayemfatilia ukilinganisha kipindi yupo Yanga na dili za matangazo. Kuna msemo usemwao; "Kila penye mafanikio washauri wa kila aina wanaongezeka."
Ili linaweza kuwa ndio lililomtoa kwenye njia. Tanzania sio Uingereza sababu kwenye vilabu vilivyo na nguvu hapa ni viwili tu.
Ukitoka hapo hakuna atakayekusikia wala kuwa na muda na wewe upande wa mashabiki mpaka madili ya maana.
Ugali kwa sukari.