Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hata Mimi nikiwa Zanzibar naweza kununua gari ila kuleta huku bara hakuna tofauti kama umeagiza japaniSasivi anamagari mawili, kumbe kucheza kwote Yanga maskini kumbe alikua anapanda bodaboda kama sisi
Yaani mtu aache 16 million per month akubali million 4 ya utopolo kwasababu ya matangazo ambayo wachezaji wanapata 20% nyingine zote wanakula wajanja wa mjini.Hapa tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani.
Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni simba na yanga.
Ila hizo hizo zinaweza kukuweka gizani ni simba na yanga.
Feisal kwa Sasa kama hakuna anayemfatilia ukilinganisha kipindi yupo yanga na Dili za matangazo.
Kuna msemo usemwao
"Kila penye mafanikio washauri wakila aina wanaongezeka"
Ili linaweza ndio lilomtoa kwenye njia.
Tanzania sio wingereza sababu kwenye vilabu vilivo na nguvu hapa ni viwili tu.
Ukitoka hapo hakuna atakaye kusikia Wala kuwa na mda na wewe upande wa mashabiki mpaka madili ya maana.
Ugali kwa sukari
Una benki statement ya hiko kiasiYaani mtu aache 16 million per month akubali million 4 ya utopolo kwasababu ya matangazo ambayo wachezaji wanapata 20% nyingine zote wanakula wajanja wa mjini.
Mama yake nilimsikia kwa masikio yanguDaah, hii ya ugali na sukari alisema mchezaji mwenyewe au wanazusha tu?
Tulioangalia mipira tangu enzi hizo, enzi za akina Gibson Sembuli tupo mkuu, wala usipate shida.Wachezaji wa Mpira wanazunguka tu leo Simba kesho Azam na keshokutwa anarudi Yanga tena ukilijua hili wala haupati tabu huyu Salum anaezungumziwa hivi baadae utasikia Yanga wanamtangaza karudi nyumbani.
Walioanza kuangalia mipira ya kina Hamis Gagalino watanielewa mazengwe S/Y hayajaanza jana wala juzi yapo toka kitambo.
Chumila hakuwahi kucheza Yanga, Gaga sawa.Tulioangalia mipira tangu enzi hizo, enzi za akina Gibson Sembuli tupo mkuu, wala usipate shida.
Kwa Simba, Edward Chumila alikua chama Chama lakini akaenda kuchezea Yanga. Bado sijamuongelea Zamoyoni Mogella.
Steven Nemes akadakia Simba
Mashabiki wa simba kichwani ni sifuri leo unasifia ukaribu wa simba na azam wakati huwa munadai kuwa huwa wanawakamia munapokutanaAzam ni njia kuelekea Lunyasi atatrend tu muda upo mwingi sana.
Wasamehe tuMashabiki wa simba kichwani ni sifuri leo unasifia ukaribu wa simba na azam wakati huwa munadai kuwa huwa wanawakamia munapokutana