Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Siyo uwashe moto uwanjani na matambiko kedekede hadi kufungiwa na TFF kama Makolokolo mwenzenu yule [emoji848][emoji38]Hata mm siwezi kurud unaambiwa ulale makaburini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo uwashe moto uwanjani na matambiko kedekede hadi kufungiwa na TFF kama Makolokolo mwenzenu yule [emoji848][emoji38]Hata mm siwezi kurud unaambiwa ulale makaburini
Sasa ngasa ana maisha gani ? Mpaka anakosa hela ya kulipia kuingia uwanjani anarazimisha aingie kwa kutumia jina lake.Watu tunajadili mambo ya msingi, wewe unaleta story za uchawi! Huku ukisahau ni mwaka wa jana tu timu yako ya simba ilipigwa faini ya dola elfu 10 na CAF kutokana na vitendo vyake vya kishirikina uwanjani kule Afrika ya Kusini.
Halafu aliyekuambia Mrisho Ngasa ni maskini ni nani? Na kuna uhusiano gani wa huo umaskini wake na hilo dili la milioni 300?
Yaani mtu achezee Kagera Sugar, Yanga, Azam, simba, Afrika ya Kusini, Ndanda, nk tangu 2004 huko! Halafu from nowhere tu awe maskini kwa sababu alibaniwa dili la milioni 300!
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu.
Hapana mkuu kwa mujibu wa vipengele vya mkataba wa fei unaruhusu kufanya alicho kifanya sema hili jambo hina amuliwa kisiasa ila fei yuko sawa.... shukran kwa ufafanuzi. Changamoto nyingine za wachezaji wetu hawa ni shule na uelewa mdogo. Sina hakika kama alipokuwa anasaini huo mkataba alifahamu maana na atahri zake sembuse hata kuusoma na kuuelewa kabla ya kusaini.
Mimi nadhani maamuzi sahihi ni yeye kwenda ngazi ya juu zaidi (CAS) kama anaona kaonewa ili akapate haki yake huko.Hapana mkuu kwa mujibu wa vipengele vya mkataba wa fei unaruhusu kufanya alicho kifanya sema hili jambo hina amuliwa kisiasa ila fei yuko sawa.
Kipengele cha mkataba kinasema iwapo fei toto atataka kuvunja mkataba bila sababu za msingi atatakiwa kuilipa yanga sh million 100 na mishahara yake ya miezi mitatu na tiyari amesha fanya hivyo.
Hili jambo lina amuliwa kisiasa kwa sababu ndani ya hizo kamati za maamuzi wamejaa mashabiki wa Yanga na Simba ila Fei yuko sawa.
Lakini hujajibu mada iliyopo mezani
Kwaiyo kwa akili yako finyu unategemea kamati ibadili uamuzi wake wa awali? Wangekuwa na akili wangeenda moja kwa moja uko CAS baada ya kupewa nakala ya hukumu lakini kuomba review ya kesi ni ujinga mwingine unaofanywa na wanaojiita wanasheria wake ili waendelee kuzitafuna hizo pesa za bureJe kama kuomba marejeo ndiyo sehemu ya hatua za kwenda CAS? Kamati inakumbushwa kujikita kwa hoja iliyokuwepo ambayo ni Je uvunjaji wa mkataba ulifuata taratibu ama la? Na kama alivunja mkataba bila taratibu kufuatwa basi aadhibiwe kwa kosa hilo.Kumlazimisha kurudi Yanga siyo sehemu ya hoja iliyopelekwa mbele ya Kamati.
Dah; kuanzia vyama vya mpira, vilabu, wachezaji, hadi mpira wa nchi hii pasua kichwa! To say the least.Hapana mkuu kwa mujibu wa vipengele vya mkataba wa fei unaruhusu kufanya alicho kifanya sema hili jambo hina amuliwa kisiasa ila fei yuko sawa.
Kipengele cha mkataba kinasema iwapo fei toto atataka kuvunja mkataba bila sababu za msingi atatakiwa kuilipa yanga sh million 100 na mishahara yake ya miezi mitatu na tiyari amesha fanya hivyo.
Hili jambo lina amuliwa kisiasa kwa sababu ndani ya hizo kamati za maamuzi wamejaa mashabiki wa Yanga na Simba ila Fei yuko sawa.
Vipi kipaji cha Kambole, kijana Gael, Djuma n.kUnateseka ukiwa wapi?/endeleeni kumpoteza huyo mtoto.
Mmeuwa vipaji vya Ibrahim Ajib na Gadiel Michael hamjatosheka bado?
Kwani rufaa inakatwa bila kupata hiyo review? Au mimi ndo nachanganya madesaKule CAS mlipokua mnamshauri aende Amefikia wapi? Mbona karudi kuomba review tena?
Kwa hiyo unaufahamu mkataba wa Fei Toto na Yanga kuanzia mwanzo mpaka mwisho!Hapana mkuu kwa mujibu wa vipengele vya mkataba wa fei unaruhusu kufanya alicho kifanya sema hili jambo hina amuliwa kisiasa ila fei yuko sawa.
Kipengele cha mkataba kinasema iwapo fei toto atataka kuvunja mkataba bila sababu za msingi atatakiwa kuilipa yanga sh million 100 na mishahara yake ya miezi mitatu na tiyari amesha fanya hivyo.
Hili jambo lina amuliwa kisiasa kwa sababu ndani ya hizo kamati za maamuzi wamejaa mashabiki wa Yanga na Simba ila Fei yuko sawa.
Dogo havimbi bure bure kwa taarifa yako mpunga wa usajili wake alishawekewa kitambo sana na hizo za kuendesha kesi tayari zimeandaliwa wewe ukimwaga mboga watu wanamwaga ugali, ukiujua ule sisi twaujua ule.Yusufu Bareksa mtoto wa bilionea ndiye yupo nyuma ya Feisal ndio maana Feisal anapata Kiburi.
Mwishowake Feisal mpira utamshinda na ata ajiliwa kama Dereva katika Moja ya makampuni ya Azam hivi ndivyo maranyingi hutokea.
Yaani utafikiri Feisal ni mchezaji anayeweza kucheza mpira peke yake Africa nzima hakunaDogo havimbi bure bure kwa taarifa yako mpunga wa usajili wake alishawekewa kitambo sana na hizo za kuendesha kesi tayari zimeandaliwa wewe ukimwaga mboga watu wanamwaga ugali, ukiujua ule sisi twaujua ule.
Sasa kama Justification zao ni za kipuuzi ko hiyo kamati imetumia busara au imefanya maamuzi ya kumrudisha Fei Yanga pasi na adhabu yeyote kwa uvunjifu wa sheria?.Sio kwamba anapoteza muda ila Wanasheria wake ni Mbumbumbu mno, Huwezi kukata rufaa au kuomba review kwenye mamlaka iliyotoa uamuzi. Ilitakiwa aombe mwenendo wa shauri ili aende kukata rufaa kwenye ngazi inayofuata yaani CAS. Halafu hata sababu ambazo Wanasheria wake wanazitumia katika ku-justify review ni za kilimbukeni zaidi. Huwezi kusema mchezaji hapendi tena kuchezea timu fulani, wanatakiwa wajikite kwenye masuala yaliyovunjwa kwenye Mkataba kati ya Yanga na Feisal.
Tunachojua hawapendi kina kabwili.Kule CAS mlipokua mnamshauri aende Amefikia wapi? Mbona karudi kuomba review tena?
Wewe acha wenge... Ko unadhani wewe kwamba Fei akisahaulika vichwani mwa wala mihogo ndo mpira wake umeisha?...Huyu keshapotea tayari. Na Yanga wameshaanza kumsahau. Ni kama mtu Ukishakuwa, wakishakuzika ndiyo biashara Inakuwa imeisha.
Kumbe na ww ubongo wako umetikisika, alilazimishwa kusaini huo mkataba? Kwa nn alisaini huku akijua wenzake wanalipwa zaidi?Roho mbaya ya viongozi iliyomfikisha hapo Feisal.
Morrison naskia anapokea 23M halafu kwa mwezi anacheza mechi mbili nazo hizo anatokea sub hachezi dakika 60
Aziz Ki inadaiwa anapokea 26M ila at least huyu anacheza mechi nyingi japokuwa kihalisia yeye na Feisal kwenye ubora sioni utofauti.
Hao wote wamemzidi Feisal mara 7 mshahara, is that fair?
Brother unaheshimika mno humu jukwaani, mahaba kwa Makolo yasikufanye ukengeukeFei kamatia hapohapo
Yani wamevurugwa mbaya mbovu utadhani anatakakuondoka na nyota ya timu... Yani kwa hili sakata kama naanza kumuelewa Msuva ni kwanini aligoma kurudi kundini haya ndo huenda ni mambo ya nyuma ya pazia aliyaona pia.Yaani utafikiri Feisal ni mchezaji anayeweza kucheza mpira peke yake Africa nzima hakuna
Tangu fei akae pembeni uto mmefunga goli 2 kwenye mechi 2Huyu keshapotea tayari. Na Yanga wameshaanza kumsahau. Ni kama mtu Ukishakuwa, wakishakuzika ndiyo biashara Inakuwa imeisha.