Feitoto agoma kurudi Uto, ataka review ya hukumu ya TFF

Sasa ngasa ana maisha gani ? Mpaka anakosa hela ya kulipia kuingia uwanjani anarazimisha aingie kwa kutumia jina lake.
Hata yy ngasa alisha lijutia hilo na aliwashauri wachezaji waangalie maslahi yao badala ya kuwafurahisha mashabiki uchwara kama nyinyi.

Ww unaona million 300 unaiona ni ndogo kwani hapo utopoloni ngasa alikuwa analipwa hela gani ambayo ingeweza kubalisha maisha yake?

Utopolo ni kikundi cha wachawi maana mchawi kazi yake kubwa huwa ni kurudisha watu nyuma kimaendeleo.
 
Huyu keshapotea tayari. Na Yanga wameshaanza kumsahau. Ni kama mtu Ukishakuwa, wakishakuzika ndiyo biashara Inakuwa imeisha.
 
... shukran kwa ufafanuzi. Changamoto nyingine za wachezaji wetu hawa ni shule na uelewa mdogo. Sina hakika kama alipokuwa anasaini huo mkataba alifahamu maana na atahri zake sembuse hata kuusoma na kuuelewa kabla ya kusaini.
Hapana mkuu kwa mujibu wa vipengele vya mkataba wa fei unaruhusu kufanya alicho kifanya sema hili jambo hina amuliwa kisiasa ila fei yuko sawa.

Kipengele cha mkataba kinasema iwapo fei toto atataka kuvunja mkataba bila sababu za msingi atatakiwa kuilipa yanga sh million 100 na mishahara yake ya miezi mitatu na tiyari amesha fanya hivyo.

Hili jambo lina amuliwa kisiasa kwa sababu ndani ya hizo kamati za maamuzi wamejaa mashabiki wa Yanga na Simba ila Fei yuko sawa.
 
Mimi nadhani maamuzi sahihi ni yeye kwenda ngazi ya juu zaidi (CAS) kama anaona kaonewa ili akapate haki yake huko.
 
Kwaiyo kwa akili yako finyu unategemea kamati ibadili uamuzi wake wa awali? Wangekuwa na akili wangeenda moja kwa moja uko CAS baada ya kupewa nakala ya hukumu lakini kuomba review ya kesi ni ujinga mwingine unaofanywa na wanaojiita wanasheria wake ili waendelee kuzitafuna hizo pesa za bure
 
Dah; kuanzia vyama vya mpira, vilabu, wachezaji, hadi mpira wa nchi hii pasua kichwa! To say the least.
 
Kwa hiyo unaufahamu mkataba wa Fei Toto na Yanga kuanzia mwanzo mpaka mwisho!

Kama kuna hicho kipengele cha kumruhusu kuondoka kienyeji tu; unataka kuaminisha watu ya kwamba, Yanga wana ugomvi na huyo dogo mpaka wamrudishie hizo pesa zake alizoweka kwenye akaunti ya klabu, na kwenda kumshtaki TFF?
 
Yusufu Bareksa mtoto wa bilionea ndiye yupo nyuma ya Feisal ndio maana Feisal anapata Kiburi.
Mwishowake Feisal mpira utamshinda na ata ajiliwa kama Dereva katika Moja ya makampuni ya Azam hivi ndivyo maranyingi hutokea.
Dogo havimbi bure bure kwa taarifa yako mpunga wa usajili wake alishawekewa kitambo sana na hizo za kuendesha kesi tayari zimeandaliwa wewe ukimwaga mboga watu wanamwaga ugali, ukiujua ule sisi twaujua ule.
 
Dogo havimbi bure bure kwa taarifa yako mpunga wa usajili wake alishawekewa kitambo sana na hizo za kuendesha kesi tayari zimeandaliwa wewe ukimwaga mboga watu wanamwaga ugali, ukiujua ule sisi twaujua ule.
Yaani utafikiri Feisal ni mchezaji anayeweza kucheza mpira peke yake Africa nzima hakuna
 
Sasa kama Justification zao ni za kipuuzi ko hiyo kamati imetumia busara au imefanya maamuzi ya kumrudisha Fei Yanga pasi na adhabu yeyote kwa uvunjifu wa sheria?.
 
Huyu keshapotea tayari. Na Yanga wameshaanza kumsahau. Ni kama mtu Ukishakuwa, wakishakuzika ndiyo biashara Inakuwa imeisha.
Wewe acha wenge... Ko unadhani wewe kwamba Fei akisahaulika vichwani mwa wala mihogo ndo mpira wake umeisha?...
 
Kumbe na ww ubongo wako umetikisika, alilazimishwa kusaini huo mkataba? Kwa nn alisaini huku akijua wenzake wanalipwa zaidi?
 
Yaani utafikiri Feisal ni mchezaji anayeweza kucheza mpira peke yake Africa nzima hakuna
Yani wamevurugwa mbaya mbovu utadhani anatakakuondoka na nyota ya timu... Yani kwa hili sakata kama naanza kumuelewa Msuva ni kwanini aligoma kurudi kundini haya ndo huenda ni mambo ya nyuma ya pazia aliyaona pia.
 
Huyu keshapotea tayari. Na Yanga wameshaanza kumsahau. Ni kama mtu Ukishakuwa, wakishakuzika ndiyo biashara Inakuwa imeisha.
Tangu fei akae pembeni uto mmefunga goli 2 kwenye mechi 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…