Feitoto agoma kurudi Uto, ataka review ya hukumu ya TFF

Kama mlishindwa na muhuni kutoka ghana sembuse watoto wa tajiri la Afrika mashariki ya kati.
Makolokolo Yanga hii ya sasa ni tofauti na ya kipindi cha Kocha Mkuu Mwinyi Zahera, kipindi kile Yanga haikuwa kampuni kama sasa hivi ilivyo chini ya GSM.

Mtatapatapa hadi mtakaa maana sasa hivi Yanga FC ina mapesa na ina wenye mamlaka tofauti na yule Msanii aliyeweka mkataba feki wa B 26 kwenye jezi badala ya kwenye mkataba halisi kama wa Yanga [emoji23]
 
Utopolo ni kikundi cha wachawi ndo kilicho sababisha mpaka sasa ngasa ni masikini baada ya kuharibu dili ambalo linge mpatia milion 300
Makolokolo mlikula pesa za Mchezaji wenu Marehemu Mafisango na kupiga kimya lakini mmeamua kujitoa ufahamu kama vile haziwatoshi?

Au ndiyo nyani huwa haoni kundule?
 
Nakazia ni Mbumbumbu wote na hata hao waliompa LIKES [emoji38]
 
Hakuna raha wanaojiita wananchi wataipata kama Fei akikaa benchi. Watahalalisha furaha yao kwa sababu kama dogo hana nidhamu, dogo kadanganywa, dogo msaliti. Hii haitajalisha alichokifanya kwenye club, kiwango chake, umuhimu wake kwenye timu ya taifa, uvumilivu wake wa kuona kina morison wakipokea mshahara mara saba yake huku yeye akitakiwa asubiri na avumilie.

V/S

Hakuna raha Wananchi halisi wa TZ tutaipata kama Fei akifanikiwa na kuendeleza kipaji chake nje ya mkataba wa kinyonyaji na tukawa na wachezaji ndani ya nchi mwenye kiwango kizuri na mwenye kipato kizuri. Binafsi sijali hata kama ni hao Yanga wakimpa mshahara mzuri kama kina Aziz K.

NGOJA TUONE WANANCHI WAPI WATAIBUKA NA FURAHA.
 
Shikamoo Baba [emoji119][emoji2]
 
Wewe ni Msemaji Mkuu wa Wananchi hadi uwasemee badala ya kujisemea we mwenyewe?
 
Wewe ni Msemaji Mkuu wa Wananchi hadi uwasemee badala ya kujisemea we mwenyewe?
Ww ni yule wa akae benchi hana adabu dogo? Au ni yule wa Apewe maslahi ya maana kama haiwezekani aachwe aende?
 
Mshahara huja baada ya negotiations
 
Kitaka kuthibitisha kwa 100% kile alichokisema Rage ni sahihi kuhusu mashabiki wa makolo basi soma huu uzi kisha comments zilizomo
 
Unataka nikujuze Eden Hazard anapokea kiasi gani pale Madrid? Imani yangu unafahamu kwahiyo sitakujuza

Nikikuuliza amecheza mechi ngapi msimu huu nadhani utazihesabu

Kwa hiyo haifanyi kazi namna hiyo unayoiweka, Fei amesaini 2020.. hawa wamesaini 2022, kuna factor nyingi sana hapa zimeingia

Nikikuuliza Okwa amecheza mechi ngapi hapo Dunduka naimani utabaki unatoa macho tuu.. Nikikuuliza kwa nini pia kua kwa nini Okwa analipwa pesa nyingi kuliko Mzamiru Yanis utabaki unakodoa bila jibu.
 
Shida huyu dogo kuna watu wanamshika masikio,huenda ndo wanampoteza hivi
 
Ww ni yule wa akae benchi hana adabu dogo? Au ni yule wa Apewe maslahi ya maana kama haiwezekani aachwe aende?
Nilikuwa juzi kati hapa naangalia mkeka wa mshahara wa klabu ya Man City; mchezaji kama Julian Alvarez aliyeisaidia timu yake ya Argentina kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia 2022, anapokea paundi 50,000/= tu kwa wiki! Huku Kelvin De Bruyne akiwa ndiye kinara kwa kupokea zaidi ya paundi laki 3 na ushee!

Umeona analalamika? Hapana! Kwa sababu amesaini mwenyewe mkataba wa kujiunga na klabu hiyo kwa malipo hayo. Muda wake na yeye wa kupandishiwa mshahara ukifika, atafanyiwa hivyo.

Hivyo mnatakiwa muwashauri na akina Fei Toto kuwa wavumikivu, na pia kufuata utaratibu kama hawaridhiki na mishahara wanayolipwa. Siyo mnakubali tu akina Yusuph Bakhressa kutumia hela zao kutuharibia mpira wetu kwa kuwarubuni wachezaji kuvunja mikataba kienyeji, kwa kisingizio cha malipo kiduchu.

Au unataka uniambie na yeye kwenye timu yake ya Azam, anawalipa wachezaji wake wote (na hasa wazawa) mshahara sawa wa milioni 17 kwa mwezi? Nongwa iko wapi kwa Fei Toto kulipwa milioni 4 alizo ridhia mwenyewe kwenye mkataba?
 
Hakuna kipengele cha kuvunja mkataba bila sababu za msingi kwenye mpira lazma kuwe na Sababu.
 
Muongeze wewe kama unaona anaonewa, maana alikubali mwenyewe hicho kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…