Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka.
Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili.
Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na Feitoto akiwa na magoli 19 na assist 7.
Turudi kwenye mada yetu ya nani apewe tuzo za Most Valuable Player (MVP) kwa msimu wa 2023/2024 Kati ya Feitoto na Stephan Aziz Ki?
Naona watu wanateseka kwa kusema Fei Toto inabidi apewe tuzo ya MVP msimu 2023/2024 lengo ni kubalance utoaji wa tuzo.
Swali langu dogo kabisa hivi Feitoto angekuwa na hizi takwimu za Aziz Ki za kuwa mfungaji bora kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Je tuzo ya MVP tungesema apewe Aziz Ki Au Feitoto angepewa tuzo zote mbili za mfungaji Bora na MVP?
Sasa kwanini kwa Aziz Ki tunataka kuwe na mijadara mirefu ya nani apewe tuzo ya MVP 2023/2024?
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc. Kichwa Kichafu