Feitoto angekuwa mfungaji bora, mngekubali Aziz Ki apewe tuzo ya MVP?

Feitoto angekuwa mfungaji bora, mngekubali Aziz Ki apewe tuzo ya MVP?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka.

Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili.
Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na Feitoto akiwa na magoli 19 na assist 7.

Turudi kwenye mada yetu ya nani apewe tuzo za Most Valuable Player (MVP) kwa msimu wa 2023/2024 Kati ya Feitoto na Stephan Aziz Ki?
Naona watu wanateseka kwa kusema Fei Toto inabidi apewe tuzo ya MVP msimu 2023/2024 lengo ni kubalance utoaji wa tuzo.

Swali langu dogo kabisa hivi Feitoto angekuwa na hizi takwimu za Aziz Ki za kuwa mfungaji bora kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Je tuzo ya MVP tungesema apewe Aziz Ki Au Feitoto angepewa tuzo zote mbili za mfungaji Bora na MVP?

Sasa kwanini kwa Aziz Ki tunataka kuwe na mijadara mirefu ya nani apewe tuzo ya MVP 2023/2024?

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc. Kichwa Kichafu
 
Hakuna kubalance hapo vigezo na masharti vizingatiwe katika utoaji wa tuzo,TFF wenyewe hawaeleweki wanaendesha mambo kienyeji kwa kusikiliza mihemko ya mashabiki wa Simba na Yanga.
 
Mchezaji gani wa ligi ya Tanzania anazungumzwa zaidi Africa nzima, mchezaji gani wa ligi ya bongo ana magoli mengi, mchezaji gani wa ligi ya bongo ameisaidia timu yake kubeba ubingwa, mchezaji gani wa ligi ya bongo amepanda thamani na kukataa ofa kubwa, ni Aziz Ki, huyo ndie MVP msimu wa 2023/24, Aziz Ki apewe kwanza tuzo yake ya MVP, kisha ndo tuanze kutafuta mfungaji bora na makipa bora kina Matampy mechi nyingi clean sheet nyingi, Diarra mechi chache clean sheets nyingi !!

Tanzania huwa hatuna sifa ya kutoa tuzo kwa wasiostahili, ukiachilia ile alipewa masifa Inonga mwaka jana. Kusema ukweli hutuweka huru, Aziz Ki ndie mchezaji bora wa NBC Premier league msimu huu, goli lake lililokataliwa dhidi ya Mamelodi limeikuza ligi yetu na si ajabu ikawa ya 3 kwa ubora Africa , Mimi nampa Aziz Ki maua yake now now , here here .
 
Hizi tuzo hupangwa kuanzia mda wa kuzitoa na hadi nani apewe na tutake au tusitake Fei atapewa MVP
 
Hii ligi inaendeshwa na mabolizozo yamekaa kwenye ofisi zile yanakuna tu vitambi na kupulizwa na viyoyozi hakuna wachofikiria wapowapo tu. Swqla la MVP halihitaji mjadala ila yanataka kuturusha rusha tu.
 
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka.

Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili.
Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na Feitoto akiwa na magoli 19 na assist 7.

Turudi kwenye mada yetu ya nani apewe tuzo za Most Valuable Player (MVP) kwa msimu wa 2023/2024 Kati ya Feitoto na Stephan Aziz Ki?
Naona watu wanateseka kwa kusema Fei Toto inabidi apewe tuzo ya MVP msimu 2023/2024 lengo ni kubalance utoaji wa tuzo.

Swali langu dogo kabisa hivi Feitoto angekuwa na hizi takwimu za Aziz Ki za kuwa mfungaji bora kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Je tuzo ya MVP tungesema apewe Aziz Ki Au Feitoto angepewa tuzo zote mbili za mfungaji Bora na MVP?

Sasa kwanini kwa Aziz Ki tunataka kuwe na mijadara mirefu ya nani apewe tuzo ya MVP 2023/2024?

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc. Kichwa Kichafu
TFF wangeli kabidhi tuzo za wachezaji Bora kwa mujibu wa kanuni ila kwasababu tuzo nyingi ziko yanga Ndiyo maana tumekuta manyoya prururuuu!
 
Guede namuona kama mzito fulani hivi kwenye kunyumbulika maana Young Africans tunahitaji mshambuliaji mwenye kasi na mwepesi maana tumekosa magoli mengi kwa counterattack
Wasingekubali..!
Mwakani namuomba Mungu amsaidie Guede awe Top scorer nimeshindwa kumsahau🤸
 
Hizi tuzo hupangwa kuanzia mda wa kuzitoa na hadi nani apewe na tutake au tusitake Fei atapewa MVP
Hata akipewa haisaidii kitu takwimu zinaongea sisi tunatambua takwimu .
 
Back
Top Bottom